Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

mmmmh.............. ndio........................ sawa

 
Yupo sahihi lakini kwanini ameagiza wasilipwe posho? Kwa mamlaka gani? Watu wakisema bunge limewekwa mfukoni mnakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi pia huwa siwezi kutukana ila kwa leo kuna mtu nimemuita karumekenge ila kwa kuw nina ID fake, kesho nitamuomba radhi
ID fake ina beba sana,na Melo atagoma kukutaja,sasa sisi wengine tunatafutwa moja kwa moja tu.
 
Mkuu, angeondoka dar kabla ya corona isingekuwa nongwa. Kumbuka dar ndo inaongoza kwa maambukizi na watu wengi wameondoka na familia zao kwenda mikoani.
Anaposisitiza watu kuchapa kazi(wakati kwa Dsm hali sio shwari na yeye yuko Chato) inaleta maswali mengi.

1. Kwa nini aende chato kipindi hiki?
2. Kwa nini harudi ikulu?
3.
4.
5.
Kwa hiyo, mazingira tulimo yanatufanya tuone kuwa mkuu ameikimbia Dar na kujificha kwake.
 
Angetokea kichaa mmoja pale kule nanhii..hahahahahhaha...paaaapaaaa paaaapaaa..anataka kupinduliwa sufuria la kujifukiza.

Wee asubuhi tu wapo huku Malog log
 
Mi naona bora uko chato asitoke mpaka October afike salama awai uchaguzi

I'm done.
 
Toa Maoni siyo Matusi.moderator chukua Hatua piga ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…