Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hata sasa wanawazuia nini hadi msubiri mpaka October.Naona km October inachelewa ili tuwafutilie mbali
Awepo na mama yako na ndugu yako katika hao 1000Nayamani watu wafe hata 1000 kwa siku ndo mtajua kuwa mnasifu ujinga kwa kutafuta vyeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda anafikishwa kileleniKwa nini unasikia raha!!??
Ndio wawepo
Msukuma hana uhusiano nao mzuri, hawezi kuwapa.Labda bangi zinahusika mkuu.
ID fake ina beba sana,na Melo atagoma kukutaja,sasa sisi wengine tunatafutwa moja kwa moja tu.Mkuu mimi pia huwa siwezi kutukana ila kwa leo kuna mtu nimemuita karumekenge ila kwa kuw nina ID fake, kesho nitamuomba radhi
Corona ukipona unaweza kuugua tena
Hivi Chadema Kwanini Wengi mpo hamjitambui?
Mkuu, angeondoka dar kabla ya corona isingekuwa nongwa. Kumbuka dar ndo inaongoza kwa maambukizi na watu wengi wameondoka na familia zao kwenda mikoani.Sio kwamba napingana na hoja za watu wengine, ambao wamekuwa wakitoa shinikizo la Rais kutoka Chato na kurudi Ikulu ya Dar es salaam au Dodoma. Ila najaribu kujiuliza haya maswali;
i) Je, utendaji wa Rais unapimwa kwa mambo anayofanya au unapimwa kwa mahali alipo?
ii) Je, Rais akiwa tu Chato au sehemu ingine yoyote Tanzania ambapo hakuna Ikulu, atakuwa anakosa moja kwa moja nguvu ya kuwa Rais?
iii) Kuna umuhimu gani haswa wa kuwa na shinikizo la kutaka Rais atoke Chato na aje ikulu?
Mi nahisi vitu vingine hivi ni kufuata tu mkumbo wa nani anasema kitu gani, iihali kuna wana harakati wanasema kwamba Rais atoke Chato aje ikulu, basi imekuwa kama hoja ya kujadiliwa, wakati ukiangalia kwa jicho la tatu, hakuna mantiki haswa nyuma ya hili jambo.
Kwangu mimi kwa kweli, sioni kama kungekuwa na tofauti yoyote kwenye hili janga la Corona hata kama Magufuli angekuwa huko ikulu watu wanapotaka awepo. Magufuli ni mtu yule yule akiwa Dodoma, Dar, Chato na popote pale.
Yaani watu wanavolalamika Rais arudi Ikulu, utasema kuna chochote kitachobadilika.
Namkumbusha huyo mtanzania mwenzetu.Acha kutisha watu karumekenge wewe
Anajua wale majemedari ndio wameshika mpini.Mbona huwa anaogopa sana Moshi na watu wa Moshi huko n kutokujiamini [emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa Maoni siyo Matusi.moderator chukua Hatua piga banDalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Another robot."Kila mtu aende kwao tuone nani atachapa kazi"