Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

Hapo kasema maneno murua Kabisa, "Mtu kwao".
 
Maswali ya ki ng'ombe ng'ombe 🤔🤔.......... So disgusting
 
😂😂😂
 
Mbona huwa anaogopa sana Moshi na watu wa Moshi huko n kutokujiamini [emoji1787][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Kwa taarifa alizonazo zinaonesha watu wa eneo hilo ndio wamekuwa obstacle Kwa Mambo mengi..kuwaogopa sidhani kwakuwa Ni Ngumu Sana Kwa Taasisi anayoingoza kuogopa mtu, kikundi /jamii ya watu au Taasisi yoyote ndani ya Jamuhuri hii.
 
Hapo umeona matusi gani?
sentensi ya Mwisho ina ukakasi Mheshimiwa Hata ukiiremba
.fikiria mnajadili na mtu Kuhusu hoja flani. Mwisho anamlizia Kama ulivyomalizia je Utafanya Nini? Kwani mama ameingiaje hapo?
 
Huyu mtu sio presidential material, period
 
Hivi kwani huko Chato anafanya nini? Kwamba huko ndo ilipo Ikulu, yupo kwa ziara ya kikazi au yupo yupo tu?
 
Mwambieni apeleke mkojo kwenye machine za kupimia ukimwi aone zitampa majibu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…