Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moshi/kilimanjaro ndipo jamii ya Waisraeli halisi wakipokimbilia kwa hapa east africa ukiacha wahabeshi, changanya na zako...Mbona huwa anaogopa sana Moshi na watu wa Moshi huko n kutokujiamini [emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa Maoni siyo Matusi.moderator chukua Hatua piga ban
Hapo kasema maneno murua Kabisa, "Mtu kwao".“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM
“Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni, na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyofanya, kuna mambo ya ajabu yanafanyika, sina imani na Mkuu wa Mabaara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za papai zioneshe zina corona” -JPM
Hawezi kwenda maana mwenyeji wake tayari keshajitangaza kuwa anao
😂😂😂Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
anavyopenda ubishi hii iki trend mtashangaa yupo Moshi na huko anaweza kufanya maamuzi ya ajabu mkajuta.
Kama ulitaka kukaa kwenu kwa nn uligombea urais?
Labda Kwa taarifa alizonazo zinaonesha watu wa eneo hilo ndio wamekuwa obstacle Kwa Mambo mengi..kuwaogopa sidhani kwakuwa Ni Ngumu Sana Kwa Taasisi anayoingoza kuogopa mtu, kikundi /jamii ya watu au Taasisi yoyote ndani ya Jamuhuri hii.Mbona huwa anaogopa sana Moshi na watu wa Moshi huko n kutokujiamini [emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
sentensi ya Mwisho ina ukakasi Mheshimiwa Hata ukiirembaHapo umeona matusi gani?
Huyu mtu sio presidential material, period“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM
“Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni, na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyofanya, kuna mambo ya ajabu yanafanyika, sina imani na Mkuu wa Mabaara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za papai zioneshe zina corona” -JPM
Haitokaaa kutokea kamwe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nayamani watu wafe hata 1000 kwa siku ndo mtajua kuwa mnasifu ujinga kwa kutafuta vyeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambieni apeleke mkojo kwenye machine za kupimia ukimwi aone zitampa majibu gani?“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM
“Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni, na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyofanya, kuna mambo ya ajabu yanafanyika, sina imani na Mkuu wa Mabaara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za papai zioneshe zina corona” -JPM
Yeye ni mtumishi wa uma na mapumziko yake yapo kisheria kama watumishi wengine. Asitumie ubabe.Mkuu huo ndo ukweli, go east go west but home is the best.