Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

Mkuu actions speak thousands of words.Chadema wameamua kufanya kile rais anachofanya kwa matendo na si kwa mdomo.Sasa wewe Kama unataka kufata maneno yake fata sisi tutawafukia tu maana hatutakuwa na namna nyingine

Hata kama umejifungia lakini huzingatii kanuni za afya kujikinga dhidi ya maambukizi, mwisho wake utafukiwa tu.

Njia sahihi JIKINGE UWAKINGE WAPENDWA WAKO, huku maisha yakiendelea.
 
Moja ya njia hizo ni kujifungia mkuu ili kuzuia kirusi kisiingie home kwako.Kirusi Cha corona kinasafirishwa na watu.hivyo ukijifungia unafungia pia na wageni waokutembelea,na wale unao ruhusu kuingia ndani kwako unahakikisha hawacontaminate chochote hapo home
 
Angalau kumbe anajua one day roho itaacha mwili,nilijua hafahamu hilo
 
Kumbe Magufuli kujenga Airport Chato alikuwa na makusudi mapana.
Mabalozi au wakuu wa nchi watamfuata Chato the very new state house.
Ikulu ya Dadoma kama anaipotezea vile.
 
Moja ya njia hizo ni kujifungia mkuu ili kuzuia kirusi kisiingie home kwako.Kirusi Cha corona kinasafirishwa na watu.hivyo ukijifungia unafungia pia na wageni waokutembelea,na wale unao ruhusu kuingia ndani kwako unahakikisha hawacontaminate chochote hapo home
Ni kweli kabisa. Uamuzi kuhusu uhai wako ni wako mwenyewe. Ukiona kujifungia ni salama fanya hivyo hadi hapo kirusii cha korona kitakapoangamizwa duniani, au kupaatikana kwa chanjo. Labda wewe unajua itakuwa lini ili utoke kuendelea na maisha yako.

Labda unasahau kuwa ukijifungia una mahitaji mbalimbali. Je, una uhakika gani wa usalama wa bidhaa hizo na jinsi vilivyopakiwa na kusafirishwa hadi hapo ulipojifungia?
 
Mkuu almost nina all bidhaa muhimu za kula for two to three months ninazo home na pale ninapolazimika kutoka mask na sanitizer lazima iwemo kwenye mkweche wangu,,so bidhaa ninayonunua Kama IPO kwenye kivungashio lazima niipige sanitizer,Jumamosi nilikuwa naenda Moro, traffic police akanikamata kwa speed,kabla ya kugusa leseni yangu ilibidi nimpige sanitizer kwanza
 
Back
Top Bottom