NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu actions speak thousands of words.Chadema wameamua kufanya kile rais anachofanya kwa matendo na si kwa mdomo.Sasa wewe Kama unataka kufata maneno yake fata sisi tutawafukia tu maana hatutakuwa na namna nyingine
I DON'T WALK THE TALK,I TALK THE TALK.
Hakika, ni kejeli kubwa sana kwa taasisi.
Mpaka uzi umekuwa published inamaana wameshauhariri wameridhia hauna shida.Mods wanashauriana ...
kumbe!Mpaka uzi umekuwa published inamaana wameshauhariri wameridhia hauna shida.
Moja ya njia hizo ni kujifungia mkuu ili kuzuia kirusi kisiingie home kwako.Kirusi Cha corona kinasafirishwa na watu.hivyo ukijifungia unafungia pia na wageni waokutembelea,na wale unao ruhusu kuingia ndani kwako unahakikisha hawacontaminate chochote hapo homeHata kama umejifungia lakini huzingatii kanuni za afya kujikinga dhidi ya maambukizi, mwisho wake utafukiwa tu.
Njia sahihi JIKINGE UWAKINGE WAPENDWA WAKO, huku maisha yakiendelea.
Sijaelewa hata mm,kama huogopi korona kwanini unajificha?
Kuna saa ninatamani kuwakamata wale wotte waliompigia kura huyu jamaa.
Nijuavyo mimi ndio hivyo, sijui kama JF mfumo wao ni tofauti.kumbe!
mbona mie nafutiwa nyuzi zimeshakaa hewani zaidi ya lisaa?
Ni kweli kabisa. Uamuzi kuhusu uhai wako ni wako mwenyewe. Ukiona kujifungia ni salama fanya hivyo hadi hapo kirusii cha korona kitakapoangamizwa duniani, au kupaatikana kwa chanjo. Labda wewe unajua itakuwa lini ili utoke kuendelea na maisha yako.Moja ya njia hizo ni kujifungia mkuu ili kuzuia kirusi kisiingie home kwako.Kirusi Cha corona kinasafirishwa na watu.hivyo ukijifungia unafungia pia na wageni waokutembelea,na wale unao ruhusu kuingia ndani kwako unahakikisha hawacontaminate chochote hapo home
Mkuu almost nina all bidhaa muhimu za kula for two to three months ninazo home na pale ninapolazimika kutoka mask na sanitizer lazima iwemo kwenye mkweche wangu,,so bidhaa ninayonunua Kama IPO kwenye kivungashio lazima niipige sanitizer,Jumamosi nilikuwa naenda Moro, traffic police akanikamata kwa speed,kabla ya kugusa leseni yangu ilibidi nimpige sanitizer kwanzaNi kweli kabisa. Uamuzi kuhusu uhai wako ni wako mwenyewe. Ukiona kujifungia ni salama fanya hivyo hadi hapo kirusii cha korona kitakapoangamizwa duniani, au kupaatikana kwa chanjo. Labda wewe unajua itakuwa lini ili utoke kuendelea na maisha yako.
Labda unasahau kuwa ukijifungia una mahitaji mbalimbali. Je, una uhakika gani wa usalama wa bidhaa hizo na jinsi vilivyopakiwa na kusafirishwa hadi hapo ulipojifungia?