Ndio maana tunasema aende tu.
KwaniniAti wanasema wanakula raha kuliko binadamu yeyote duniani
Hapo hata mm nimecheka sana .Ika nimeahindwa ku comment chochote kwenye hiyonreply yake maana mm binafsi namuheshimu sana kaka angu Pascal Mayalla na michango yake humuHaha umenichekesha kwamba Magufuli mwenyewe ndo maendeleo

Yaan kwa mawazo yake bado watanzania wengi ni wajinga sanaKwanini naww usiongelee hayo unayodhani ni mazuri
Hata mimi sijui wanamaanisha nini hawa wakolomijeKwanini
Da haki ya nani hii nchi INA vichaa wengiMnasahau CCM imewatoa mbali jamani mtapata laana nyie!