mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,566
- 10,623
Hawezi kuendelea kuwa pale kumbuka Ile ni ofisi pia SASA kama Leo nje angekuwa anaapishwa Samia ndani watu wako msibani. Magufuli ana watoto Hadi wajukuu.Ni kama alivo mtimua yule jamaa Nape nnauye!!! Akajikunjaaa maskini km alijua vile hivi yuko wapi?
Km uko nae karibu mpige picha kwa siri itupiemo humu!!
Wakianza kupasuka ndii watapata akiliYaani naona somo hilo halipo maana nimeona, kwenye mkutano wa Mh. Samia na baraza la mawaziri naona wamejazana tu,bila kuchukua tahadhari... Hongereni.
Wewe aisee, you're beyond remedy.Aliyelala usimuamshe ukimuamsha utalala wewe.Endelea kuuchapa usingizi.
Ninakuhakikishia, siku si nyingi, pengine kuanzia wiki ijayo utaona mabadiliko makubwa. Hili likumbuke nimelisema hapa.Wakianza kupasuka ndii watapata akili
Mi sifurahii MTU akifa ila usiwapangie wanaofurahia kifo cha MTU mwingine, sio kwamba hawajui watakufa na wao wanajua sana.Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia
Wanyonge wengine sisi Wa upinzani tulinyongwa.Safi sana. Ni mwanzo mzuri wa kuwa karibu na familia ya Magufuli ambayo Watanzania tuna deni kutokana na utumishi wake uliotukuka kwa Watanzania, hususan wanyonge.
Wewe ukichagua kuchelewa kufa utapata nini? Au funza watakao kushambulia huko chini watakuwa tofauti na wale wa wengine?Ukiwahi unapata nini
Sawa mkuu wa kitengo.Sasa ndio ume andika nn?
Tz haina experience na rais mwanamke. Mf. Ni ulinzi wake. Uta badilika sana
Sio wote wanaishi Ikulu! Na kumbuka JPM alishahamia Dodoma!Nyumbani kwake wapi tena mke wa Rais si anaishi Ikulu?Ametolewa lini hapo Ikulu?
Hii inashangaza kidogo!! Mbona Rais wa mataifa mengine wanakuwa makini sana na ugonjwa huu - mfano: Rais Museveni wa Uganda na delegation yake, Rais wa Ethiopia, Ugeni kutoka China, Rais wa Burundi nk. Sisi hapa kwetu sioni kama suala hili tunalichukulia seriously at all, wanatumia microphone zile zile bila ya kubadirisha - tunaona Rais wa Merikani na Makamu wake wote wanavaa special face masks wa napokuwa Ikulu, kukaribisha wageni au wanapokuwa sehemu yenye msongamano wa watu - sisi hapa kwetu tahadhali hiyo siioni kabisa!! Mama wa watu awe anavaa specially face mask anapokuwa sehemu yoyote hatarishi - muigeni Angela Merkel.Mbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Amesikitisha sana Madam SSH. Hii inaonesha kwa kiasi gani kiongozi mwendazake ametengeneza taifa la watu waoga hata kupgppa kivuli chake. SadHii inashangaza kidogo!! Mbona Rais wa mataifa mengine wanakuwa makini sana na ugonjwa huu - mfano: Rais Museveni wa Uganda na delegation yake, Rais wa Ethiopia, Ugeni kutoka China, Rais wa Burundi nk. Sisi hapa kwetu sioni kama suala hili tunalichukulia seriously at all, wanatumia microphone zile zile bila ya kubadirisha - tunaona Rais wa Merikani na Makamu wake wote wanavaa special face masks wa napokuwa Ikulu, kukaribisha wageni au wanapokuwa sehemu yenye msongamano wa watu - sisi hapa kwetu tahadhali hiyo siioni kabisa!! Mama wa watu awe anavaa specially face mask anapokuwa sehemu yoyote hatarishi - muigeni Angela Merkel.
Hii inashangaza kidogo!! Mbona Rais wa mataifa mengine wanakuwa makini sana na ugonjwa huu - mfano: Rais Museveni wa Uganda na delegation yake, Rais wa Ethiopia, Ugeni kutoka China, Rais wa Burundi nk. Sisi hapa kwetu sioni kama suala hili tunalichukulia seriously at all, wanatumia microphone zile zile bila ya kubadirisha - tunaona Rais wa Merikani na Makamu wake wote wanavaa special face masks wa napokuwa Ikulu, kukaribisha wageni au wanapokuwa sehemu yenye msongamano wa watu - sisi hapa kwetu tahadhali hiyo siioni kabisa!! Mama wa watu awe anavaa specially face mask anapokuwa sehemu yoyote hatarishi - muigeni Angela Merkel.
Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
Si kweli, namfahamu Bashiru kwa muda mrefu sana,ni mtu mwenye msimamo usio-yumba. Wewe una nia ovu ya kumchafua.Humjui. Ww ni bendera fuata upepo tu. Huyo hata Uraia wake tuna mashaka nao.
Wala hatutaki watu wa kulinda maslahi ya hayati na team yake.
Pia Rais Mama Samia (ni mwanamke) hawezi kuwa na Katibu kiongozi Mwanaume! Kuna Mambo Ya KIKE hafai kujua siri za Mwanamke!
Mimi sitasombwa na upepo wa kimagharibi never,kwa kuwa najua ni illusion.Kalamu wewe ni wa kizazi kilichoibukia na kukulia kwenye awamu za Mwinyi,Mkapa na Kikwete.Kipindi hiki ndipo Wazungu walipotimiza adhma yao uvu ya kuingiza uchafu wao mwingi kwenye vichwa vya watu wetu,including you.Hata historia yetu wameifuta kwa makusudi hayo hayo,wakisaidiwa na vibaraka wao waliowapandikiza kwenye system yetu.Ipo haja, tena kwa makusudi kabisa, kubadili mitaala mashuleni,ili kujaribu ku-flush out mawazo na mentality zote za kimagharibi.Wewe aisee, you're beyond remedy.
Hata sielewi unaishi dunia ya namna gani, maanake hata ungekuwa una'observe' tu mambo ya dunia yalivyo usingekuwa hivi ulivyo.
Shule, kama umesoma, nina hakika huna ufahamu wowote wa sayansi, lakini hata huko kwenye sanaaa ungekuwa umehitimu vizuri ungekuwa na uelewa wa mambo muhimu, kama hili la corona.
Ni wazi wewe hakuna msaada utakaoweza kukupa upeo wa kuitazama dunia ya sasa inavyofanya kazi. Bado umejifutika kwenye enzi za 'cave man'.
Humjui ktk Utawala! Sema ww ni bendera fuata upepo.. Kifupi hata matendo yake na matamko yake kwenye TV alipo kuwa KATIBU CCM hatufai. Yy ,na polepole ndio wameharibu Taifa la Nyerere lenye Umoja. Wamejenga Chuki, wame ua demokrasia na kugaww Taifa. Rais anakufa watu wanashingilia kisa upuuzi wa huyo. Tunaitaji Tz yenye Umoja, Demokrasia, mshikamano na Utu.Si kweli, namfahamu Bashiru kwa muda mrefu sana,ni mtu mwenye msimamo usio-yumba. Wewe una nia ovu ya kumchafua.