Rais Mama Samia Suluhu amtembelea kumfariji Mama Janeth Magufuli

Jamani vaeni barakoa. Kuna corona
 
Hiki kilitakiwa kifanywe na Bashiru kwa familia ya Kijazi... Mwenzie kuapishwa tu, break ya kwanza kutoa pole
 
Mwenye namba ya Jesca anitumiee PM nimpe rambirambi
 
Namuonea huruma sana huyo mama janet.
Yaani kama ndoto vile[emoji20][emoji20][emoji20].
Chuma kimelala kweli au naota?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…