Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini wapi mbona mwenda zake aliiba kura mchana kweupe!?Sijui upinzani asimame nani ila kwa sasa wapiga kura(wananchi maskini)huwaambii kitu na CCM
hakuna wa kuiondoa CCM, bora chama kingine lkn sio CHADEMA, mbinu zao ni zilezile za kutaka kuongoza Nchi, wao ni kukosoa na kulaumu, waige Vyama vingine vya km huko USA Republican na Democratic, anayeshika Madaraka wamuache atawale, sasa wao ni mwanzo mwisho siasa,Kila mtu anamnyooshea mwenzake kidole cha kujipendekeza...
Tumeanza kuwajua vizuri watu wote mliokuwa mnaliingiza taifa la Tanzania kwenye migongano na chuki dhidi ya wananchi.Nimefuatilia sana mijadala inayoendelea nchini kuhusu utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais,Mama Samia Hassan nimeona ameungwa mkono sana na watu hasa wale waliojipambanua kuwa ni wapinzani.
Hii kitu ikanifanya nitenge muda kutafakari why?,.Tangu lini mtu wa CHADEMA akasifia utendaji kazi wa kiongozi wa CCM na kumuunga mkono wakti hata mwezi hajafikisha akiwa madarakani?. Kitu nimebaini ni kwamba CHADEMA wameona tyr kuna ulaji kwa huyu mama,So wameona wanze kujipendekeza mapema ili wapate chance ya kumdefeat na kuguide huko mbele.
Hii kitu mama anatakiwa kukiangalia sana,Sifa za hawa watu siyo bure ,kuna kitu wanakiandaa .Haijawa tokea nchi hii mtu wa upinzani akafurahia kiongozi wa CCM namna hii.
Kikubwa mama awe makini,akicheza ngoma za hawa jamaa na kuwaacha wana CCM wenzake,CCM itakufa mikononi mwake.CCM haijwahi kuwa na urafiki na CHADEMA hata siku moja . Hizi pongezi kutoka upnde wa pili mama aziangalie mara mbili mbili .
Mwezi huu wa tatu mtauona nuksi sana nyinyi maadui wa mshikamano wa watanzania.Nimefuatilia sana mijadala inayoendelea nchini kuhusu utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais,Mama Samia Hassan nimeona ameungwa mkono sana na watu hasa wale waliojipambanua kuwa ni wapinzani.
Hii kitu ikanifanya nitenge muda kutafakari why?,.Tangu lini mtu wa CHADEMA akasifia utendaji kazi wa kiongozi wa CCM na kumuunga mkono wakti hata mwezi hajafikisha akiwa madarakani?. Kitu nimebaini ni kwamba CHADEMA wameona tyr kuna ulaji kwa huyu mama,So wameona wanze kujipendekeza mapema ili wapate chance ya kumdefeat na kuguide huko mbele.
Hii kitu mama anatakiwa kukiangalia sana,Sifa za hawa watu siyo bure ,kuna kitu wanakiandaa .Haijawa tokea nchi hii mtu wa upinzani akafurahia kiongozi wa CCM namna hii.
Kikubwa mama awe makini,akicheza ngoma za hawa jamaa na kuwaacha wana CCM wenzake,CCM itakufa mikononi mwake.CCM haijwahi kuwa na urafiki na CHADEMA hata siku moja . Hizi pongezi kutoka upnde wa pili mama aziangalie mara mbili mbili .
Hivi nchi hii chama cha upinzani ni kimoja tu cdm?Uko sahihi 100%
Wana ccm wenyeweNani wa kuiondoa CCM madarakani? Tuanzie hapo kwanza!