UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Ccm haiwezi kuondolewa madarakani na magenge ya wahuni (Mwl aliwahi kuwaita hivyo) ambao sera zao ni matusi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm haiwezi kuondolewa madarakani na magenge ya wahuni (Mwl aliwahi kuwaita hivyo) ambao sera zao ni matusi tu.
Magu (R.I.P) ni mtu mmja tu nd maana imekua ivyo,, Ila CCM ni taasis kubwa inayojipambanua ambay haiwezi kufa au kupotea kama ulivofikili Apo MkuuKuondoka kwa CCM madarakani ni mpango wa Mungu. Kwani si mlimuabdaa Jiwe atawale milele? Leo yuko wapi? Hata hatma ya Ccm iko mikononi mwa Mungu. Time will tell.
Safi sana, sasa tunaimba wimbo mmoja kuisifu ccm chini ya mama SamiaUkisikia Chaguo la Mungu ndio huyu Mama sasa!
Ana kila dalili za kuwa anointed.
Magufuli R.I.P (shetani).
Chama hicho hakunaKwani kuna shida gani wananchi wakiamua kwa ridhaa Yao kuchaguwa chama kingine kuongoza nchi?
Ni baada ya miaka 200 kina belgiji wakiwa historiaCCM kuna siku itatolewa tu ila haijulikani lini labda 2025 au 2030 au hata 2040 ila itatolewa tu
Mama Samia hajacheza ngoma ya wapinzani ila wapinzani wanajitekenya na kucheka wenyewe,Katiba haina kipengele kinasema CCM itaongoza milele,Uimara wa viongozi unafanya CCM iendelee kuwa madarakani.So mama akikosa msimamo na kucheza ngoma ya Upinzani makwisha
Nimefuatilia sana mijadala inayoendelea nchini kuhusu utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais,Mama Samia Hassan nimeona ameungwa mkono sana na watu hasa wale waliojipambanua kuwa ni wapinzani.
Hii kitu ikanifanya nitenge muda kutafakari why?,.Tangu lini mtu wa CHADEMA akasifia utendaji kazi wa kiongozi wa CCM na kumuunga mkono wakti hata mwezi hajafikisha akiwa madarakani?. Kitu nimebaini ni kwamba CHADEMA wameona tyr kuna ulaji kwa huyu mama,So wameona wanze kujipendekeza mapema ili wapate chance ya kumdefeat na kuguide huko mbele.
Hii kitu mama anatakiwa kukiangalia sana,Sifa za hawa watu siyo bure ,kuna kitu wanakiandaa .Haijawa tokea nchi hii mtu wa upinzani akafurahia kiongozi wa CCM namna hii.
Kikubwa mama awe makini,akicheza ngoma za hawa jamaa na kuwaacha wana CCM wenzake,CCM itakufa mikononi mwake.CCM haijwahi kuwa na urafiki na CHADEMA hata siku moja . Hizi pongezi kutoka upnde wa pili mama aziangalie mara mbili mbili .
Kwa alivyokuwa anajiona jiwe hakujua kwamba kuna siku atapata mwisho wake.Bila katiba mpya CCM haiwezi kutoka madarakani
Ubaya wa situation yetu ni kuwa maslahi ya CCM na maslahi ya nchi ni vitu vinavyopingana. Mama kawekwa mtu kati.
Huna akiliNimefuatilia sana mijadala inayoendelea nchini kuhusu utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais,Mama Samia Hassan nimeona ameungwa mkono sana na watu hasa wale waliojipambanua kuwa ni wapinzani.
Hii kitu ikanifanya nitenge muda kutafakari why?,.Tangu lini mtu wa CHADEMA akasifia utendaji kazi wa kiongozi wa CCM na kumuunga mkono wakti hata mwezi hajafikisha akiwa madarakani?
Kitu nimebaini ni kwamba CHADEMA wameona tayari kuna ulaji kwa huyu mama,hivyo wameona waanze kujipendekeza mapema ili wapate nafasi ya kumdefeat na kuguide huko mbele.
Hii kitu mama anatakiwa kukiangalia sana,Sifa za hawa watu siyo bure ,kuna kitu wanakiandaa .Haijawa tokea nchi hii mtu wa upinzani akafurahia kiongozi wa CCM namna hii.
Kikubwa mama awe makini,akicheza ngoma za hawa jamaa na kuwaacha wana CCM wenzake,CCM itakufa mikononi mwake. CCM haijwahi kuwa na urafiki na CHADEMA hata siku moja . Hizi pongezi kutoka upande wa pili mama aziangalie mara mbili mbili .
Kwani hii nchi ni mali ya ccm?Wachague kwa lipi? Hoja zipi?
N hivi, sema utakacho lakini sisi tunajua ibilisi saa hii yuko motoni anatoa mrejesho wa mauaji ya wananchi fullstop.Uzijali Mkuu, CCM iko makini sana jana, leo na kesho. Ndio maana wakati wao wapinzani wakidili na mtu,CCM inadili na mfumo! Na Mama Samia ni zao la mfumo wa CCM!!!