Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Yaani sijawahi kuona majitu mazuzu kama haya ya upinzani.Tuko makini sana mkuu na hawa wanasaccos mitandaoni hawana kitu hawa! Sisi tunajua sehemu ya watz ni mitaani walioko wapiga kura.
Ni mamtu rahisi sana kuyadhibiti.
Yaani sasa hivi Mama Samia ayaue tu kwa kindness na kuongea kwa upole.
Akifanya hivyo yatasahau hadi habari za katiba mpya na tume huru.
Kikwete aliziitaga kelele zao upepo. Unavuma na kupita fyuuuu.
🤣🤣🤣