Rais Mama Samia Suluhu asipokuwa makini 2025 CCM itaondolewa madarakani

Rais Mama Samia Suluhu asipokuwa makini 2025 CCM itaondolewa madarakani

Kila mtu anamnyooshea mwenzake kidole cha kujipendekeza.

Itapendeza tukiyarejea haya yote baada ya mwaka kama mmoja hivi na pia 2025.

Wachache wetu tunaamini hakutakuwa na tofauti kubwa....

Muda utatueleza.
Ninacho furahia ni kuwa MATAGA sasa hivi mnawaya waya tu
 
Katiba haina kipengele kinasema CCM itaongoza milele,Uimara wa viongozi unafanya CCM iendelee kuwa madarakani.So mama akikosa msimamo na kucheza ngoma ya Upinzani makwisha
Umerogwa
 
Siku CCM ikiondoka madarakani itakua shangwe kama juzi hapa! Haiwezekani fikra zile zile ziwepo hata baada ya miaka 60!
Mwanzo wa ngoma ni leleee hivyo mkuu jiandae kufurahia
 
Kuondoka kwa CCM madarakani ni mpango wa Mungu. Kwani si mlimuabdaa Jiwe atawale milele? Leo yuko wapi? Hata hatma ya Ccm iko mikononi mwa Mungu. Time will tell.
Watakuelewa watu wenye kutumia akili
 
Ni sawa na mende kuangusha kabati ulisikia wapi hiyo.
Hata ccm iwe nyepesi kama unyoya hakuna upinzani wa kuitoa madarakani, labida ccm isambaratike vipande vipande.
Sasa hivi ccm imeshakata kamba tayari
 
Nimefuatilia sana mijadala inayoendelea nchini kuhusu utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais,Mama Samia Hassan nimeona ameungwa mkono sana na watu hasa wale waliojipambanua kuwa ni wapinzani.

Hii kitu ikanifanya nitenge muda kutafakari why?,.Tangu lini mtu wa CHADEMA akasifia utendaji kazi wa kiongozi wa CCM na kumuunga mkono wakti hata mwezi hajafikisha akiwa madarakani?. Kitu nimebaini ni kwamba CHADEMA wameona tyr kuna ulaji kwa huyu mama,So wameona wanze kujipendekeza mapema ili wapate chance ya kumdefeat na kuguide huko mbele.

Hii kitu mama anatakiwa kukiangalia sana,Sifa za hawa watu siyo bure ,kuna kitu wanakiandaa .Haijawa tokea nchi hii mtu wa upinzani akafurahia kiongozi wa CCM namna hii.

Kikubwa mama awe makini,akicheza ngoma za hawa jamaa na kuwaacha wana CCM wenzake,CCM itakufa mikononi mwake.CCM haijwahi kuwa na urafiki na CHADEMA hata siku moja . Hizi pongezi kutoka upnde wa pili mama aziangalie mara mbili mbili .
Ina maana upeo wako umeishia hapa!!!!?!!!
 
Yule hana huo ubavu kwanza wapiga kura hawako twita wala JF,wapiga kura wapo vijijini,wauza samaki,machinga ndo CCM wanadeal na hao
Waramba miguu mmekosa pa kushika dadeeeeeekiiiii wahlaaaaaaiiiiii
 
Chadema wameona kuna ulaji kwa Rais kumsimamisha Boss wa TPA kupisha uchunguzi?

Mleta mada hauwezi kuwa serious hata kidogo..HAKI HUINUA TAIFA.
 
Nimefuatilia sana mijadala inayoendelea nchini kuhusu utendaji kazi wa Mheshimiwa Rais,Mama Samia Hassan nimeona ameungwa mkono sana na watu hasa wale waliojipambanua kuwa ni wapinzani.

Hii kitu ikanifanya nitenge muda kutafakari why?,.Tangu lini mtu wa CHADEMA akasifia utendaji kazi wa kiongozi wa CCM na kumuunga mkono wakti hata mwezi hajafikisha akiwa madarakani?. Kitu nimebaini ni kwamba CHADEMA wameona tyr kuna ulaji kwa huyu mama,So wameona wanze kujipendekeza mapema ili wapate chance ya kumdefeat na kuguide huko mbele.

Hii kitu mama anatakiwa kukiangalia sana,Sifa za hawa watu siyo bure ,kuna kitu wanakiandaa .Haijawa tokea nchi hii mtu wa upinzani akafurahia kiongozi wa CCM namna hii.

Kikubwa mama awe makini,akicheza ngoma za hawa jamaa na kuwaacha wana CCM wenzake,CCM itakufa mikononi mwake.CCM haijwahi kuwa na urafiki na CHADEMA hata siku moja . Hizi pongezi kutoka upnde wa pili mama aziangalie mara mbili mbili .
Tuko makini sana mkuu na hawa wanasaccos mitandaoni hawana kitu hawa! Sisi tunajua sehemu ya watz ni mitaani walioko wapiga kura.
 
Rais Samia akiweka kodi zinazoendana na kipato kwa wafanyabiashara na pia ushuru wa forodha kwa mizigo inayotoka nje. Pesa itakuwepo mitaani na ajira zitaongezeka.
 
Muache Mh Samia afanye kadri anavyoona inafaa,Mh Samia ndio alianza kupongeza upinzani , Ada ya mja hunena muungwana ni kitendo,Mama ameonyesha uungwana wacha upinzani utoe nao pongezi au inakuuma wapinzani kumpongeza Mh SSH?
 
Rais Samia akiweka kodi zinazoendana na kipato kwa wafanyabiashara na pia ushuru wa forodha kwa mizigo inayotoka nje. Pesa itakuwepo mitaani na ajira zitaongezeka.

Mama kila kitu atakiweka sawa , Jiwe ni mkemia alikuwa hana ABCs za uchumi ndio maana alifanya mambo yakasababisha mzunguko wa fedha mtaani kutoweka na uchumi kupiga mweleka.
 
Back
Top Bottom