Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

21 Mar 2019
Part 2 : Saulos Chilima and the Elections in Malawi - Straight Talk Africa
21 Mar 2019
Straight Talk Africa host Shaka Ssali conducted an exclusive interview with Vice President of Malawi Saulos Chilima about the upcoming elections. In the second part of this in-depth interview, Chilima delves into the problems Malawi continues to face and his experiences as Vice President.

Source : VOA Africa
 
T14 Ambast: 35873858 said:
Sina neno zaidi ya kusema huyu rais kakurupuka vibaya mno. Huwezi kuja mbiombio ndani ya masaa 24 unafumua mfumo kwa ghafla hivyo, hiyo ni nchi wala sio kama chama cha mpira. Nchi ina systems na hazibadiliki ghafla bali zinabadilika taratibu kuachana na mazoea mabovu yaliyokuwepo.
China alipoingia Deng Xiaoping alikuwa anapinga ujinga uliofanywa na kina Mao Zedong lakini hakufanya haraka hivyo, USSR alipoingia Nikita Kruschev alijipanga kabla ya kuanza kumpinga Stalin ambaye alikuwa ashakufa.
Ni kama vile ana kisirani na kisasi, kama vile kaja kukomoa mtu. Mabadiliko hayaji kama mapinduzi yanatakiwa kuja hatua kwa hatua.
Mbona nyinyi kila kukicha mnajitahidi kupeleka kwa hati za dharura, miswada ya sheria za hovyo hovyo za ukandamizaji hapa nchini?

Hivi kwa mfano mlipopeleka sheria ya kuongeza list ya wale ambao hamtaki washitakiwe, wakiwemo Spika wa Bunge, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu, kwenu nyinyi mliona mmefanya sawa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
28 June 2020
(🔴 LIVE) SAULOS CHILIMA SWEARING IN OF VICE PRESIDENT-ELECT-28 JUNE 2020 MALAWI ELECTION 2020

Source : hanifa
 
Kama dikteta anayevunja katiba usiku na mchana anadhani kwa kuweka sheria kwamba hastahili kushtakiwa kwa maovu yake akiwa Ikulu na sheria hiyo ITAHESHIMIWA ameula wa chuya yeye na wenzie wataburuzwa kizimbani haraka sana na mali zao zote KUFILISIWA.

Tumepokea taarifa kutoka Malawi, kuwa kiongozi mpya aliyechaguliwa kwa kura nyingi katika kura za marejeo, Lazarus Chakwera, katika uchaguzi uliokuwa huru na wa haki, ndani ya saa 24, tokea aapishwe, ameondoa kinga ya kutoshtakiwa, aliyokuwa amejiwekea, kiongozi anayeondoka madarakani, Peter Mutharika.

Tunajifunza nini kwa hatua hiyo iliyochukuliwa na kiongozi huyo mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera?

Kama Taifa tunachopaswa kujifunza, ni kuona uongozi ni kama dhamana ambayo tumepewa na wananchi, ambapo tunapaswa tujinyenyekeze kwa wananchi wote na tuwatumikie kwa usawa, hao wananchi waliotupa dhamana hiyo tuliyo nayo na tunapaswa tutekeleze majukumu yetu, kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu, bila kuwaonea raia kwa kutumia vyombo vya dola, ambavyo tunaamini kuwa sisi ndiyo tunaovimiliki.

Viongozi wetu pia wanapaswa waache mara moja tabia wanayoiendekeza ya kila kukicha, kupeleka Bungeni miswada mipya ya sheria za ukandamizaji na kujiwekea kinga ya kutoshtakiwa, kama vile wao ndiyo watakaodumu milele madarakani!

Wanapaswa pia kufikiri upya, kama hatua yao ya kupeleka muswada kwa hati ya dharura, kwa viongozi kama vile kuwawekea kinga ya kutoshtakiwa, Spika wa Bunge, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu, kama uamuzi huo ulikuwa wa busara.

Ni lazima tujue kuwa ukandamizaji unaozidi kupita kiasi hapa nchini, hautadumu milele, kwa hiyo ni vyema viongozi wetu wakatekeleza majukumu yao kwa haki na kwa mujibu wa Katiba ya nchi, kwani ndiyo kinga pekee ya kudumu, itakayowaacha salama, hata watakapotoka madarakani.
 
Published on 7 June 2018
Malawi VP attacks president, quits ruling party

7 June 2018

Malawi’s vice president Saulos Chilima has publicly attacked the president of presiding over a government riddled with corruption on Wednesday as he announced his resignation from the ruling party, leaving the door open for a presidential run.

Chilima was handpicked by President Peter Mutharika to run alongside him in the 2014 elections on the Democratic People’s Party (DPP) ticket. His dramatic decision to quit the DPP has exposed a widening rift in the ruling party, which has come under heav… READ MORE : http://www.africanews.com/2018/06/06/...
Source : Africanews
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Huyu Raisi mpya anataka kuleta machafuko tu Malawi kipengele cha Raisi anayeondoka madarakani kutoshitakiwa kiko kwenye katiba ya nchi kukibadilisha inatakiwa katiba ibadilishwe kwanza na uwezo huo kama Raisi hana ni bunge na kura za maoni za wananchi ndio zaweza kakosea kukifuta hana huo ubavu wa kuvunja katiba wazi wazi!!!

kifungu hicho cha katiba ya malawi namba 91 hiki hapa nanukuu

91. Immunity
1. No person holding the office of President or performing the functions of
President may be sued in any civil proceedings but the office of President shall
not be immune to orders of the courts concerning rights and duties under this
Constitution.
2. No person holding the office of President shall be charged with any criminal
offence in any court during his term of office.
3. After a person has vacated the office of President, he or she shall not be
personally liable for acts done in an official capacity during his or her term of
office but shall not otherwise be immune.
Kutesa kwa zamu.
 
Ndugu hujui.Rais anainfluence gan ktk kubadilika kwa katiba?ukitaka.kujua hlo ni muswada upi ulipelekwa bungen na haukupita?
Hiyo sheria aliiweka yeye au ilitungwa na bunge?
Yeye kama yeye anawezaje kubadili katiba ambayo imetungwa na bunge, kwa hiyo yeye yupo juu ya katiba?
 
Unadhan kila sehemu kuna kusifu na kuabudu?
Cha kujifunza ni kuwa ama ana papara ama kuna 'kundi' lenye nguvu lililomuweka hapo na linataka afanye linavyotaka bila yeye kufikiria madhara yatakayompata na wananchi kwa ujumla. Kama na mihemuko aache...na kutulizana kwanza asubiri kimbunga kipite.
 
Ndugu haya mazumbukuku hawawez kukuelewa
Mbona nyinyi kila kukicha mnajitahidi kupeleka kwa hati za dharura, miswada ya sheria za hovyo hovyo za ukandamizaji hapa nchini?

Hivi kwa mfano mlipopeleka sheria ya kuongeza list ya wale ambao hamtaki washitakiwe, wakiwemo Spika wa Bunge, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu, kwenu nyinyi mliona mmefanya sawa?
 
Cha kujifunza hapa ni kwamba viongozi wetu wa kiafrica wamejaa chuki na visasi... Angepeleka muswada bungeni iwe sheria kwa rais yeyote atakàeingia madarakani siyo kumtarget mpinzan wako tu
Hivi ameondoa kinga ya APM kutokushitakiwa au ameondoa ya rais kutokushitakiwa?
 
Kama ni MFUMO uliojaa UOZO mwanzo mwisho kwanini AUKUMBATIE? 😳😳😳
Kama aliahidi KUUFUMUA ni lazima ATIMIZE KAULI yake tena BILA KUCHELEWA.

Sina neno zaidi ya kusema huyu rais kakurupuka vibaya mno. Huwezi kuja mbiombio ndani ya masaa 24 unafumua mfumo kwa ghafla hivyo, hiyo ni nchi wala sio kama chama cha mpira. Nchi ina systems na hazibadiliki ghafla bali zinabadilika taratibu kuachana na mazoea mabovu yaliyokuwepo.
China alipoingia Deng Xiaoping alikuwa anapinga ujinga uliofanywa na kina Mao Zedong lakini hakufanya haraka hivyo, USSR alipoingia Nikita Kruschev alijipanga kabla ya kuanza kumpinga Stalin ambaye alikuwa ashakufa.
Ni kama vile ana kisirani na kisasi, kama vile kaja kukomoa mtu. Mabadiliko hayaji kama mapinduzi yanatakiwa kuja hatua kwa hatua.
 
Hata Mkapa kachoka na chaguzi ambazo si HURU na wala si za HAKI.

1593540107584.jpeg

Wasio na akili ni pamoja na wewe unayetaka tujifunze mambo ya nchi nyingine wakati sisi ni sisi.
 
Hiyo sheria aliiweka yeye au ilitungwa na bunge?
Yeye kama yeye anawezaje kubadili katiba ambayo imetungwa na bunge, kwa hiyo yeye yupo juu ya katiba?
Katiba yao inamruhusu kufanya hivo hata hapa ni hivyohivyo mambo ya bunge yanakuja baadae.
 
Hiyo sheria aliiweka yeye au ilitungwa na bunge?
Yeye kama yeye anawezaje kubadili katiba ambayo imetungwa na bunge, kwa hiyo yeye yupo juu ya katiba?

Kwa taarifa yako hizi nchi zetu za kiafrika, rais yuko juu ya katiba, bunge na mahakama. Na anaweza kuamua lolote na likatekelezwa na bunge, mahakama, na taasisi yoyote bila kuridhia. Mfano halisi ni hapa nchini kwetu. Tabia binafsi na utashi wa rais, ndio zimegeuka kuwa sheria za nchi. Bunge, mahakama na taasisi nyingine zinafanya kila atakacho. Hii kinga ya kutoshtakiwa ilikuwa ni amri yake kwa 100%, bunge limetii tu atakacho.
 
Cha kujifunza hapa ni kwamba viongozi wetu wa kiafrica wamejaa chuki na visasi... Angepeleka muswada bungeni iwe sheria kwa rais yeyote atakàeingia madarakani siyo kumtarget mpinzan wako tu

Acha amtarget huyo huyo mpinzani wake, ile fundisho kwa mabaradhuli wengine wote. Tunaona hata kwetu rais anaumiza watu wa itikadi tofauti, unategemea siku akiingia mpinzani, ataacha kuchukua hatua stahiki?
 
Back
Top Bottom