Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Wivu na uzushi wa namna hii mkikuta mmeletewa posa nyumbani kwa ajili ya kuolewa msilalamike.
 
Inapendeza Sana..💘💘
 
Malipo ni hapa hapa kama ni kweli !! Lakini kama si kweli ndio imeisha hiyo !! Na uzee nao ndio umeshaingia !! Kila kiungo kinakuwa hoi !!
Mtabaki mnamuombea mabaya milele na ndo kwanza yanaweza kuanza kuwakuta nyie......tangu muanze kumsema na kumuombea mabaya, kwa sababu mlizozibuni kutokana na wivu na chuki zenu kwa huyo jamaa, mmeshapatwa na mangapi mabaya huku yeye akiwa salama tu? Na bado, endeleeni tu.
 
Jamaa wakati wake alitujali Sana aiseh!

Alijua kula na kipofu!

Alifanya yake lakini akahakikisha KILA MWAKA anatupa chetu!!

Sasa huyu aliepo anatangaza kuwania 2025 HUKU anatudanganya na huyo madeluu!halfu mfumuko wa bei Hadi unajiuliza anajipanga na urais KWELI!!?au anaachia njiani !Mi sioni dalili za mtu anaetaka madaraka bali anaeaga kabisaaaa!!
 
Yaan anazidi kuwa barobaro
Achana na pesa aiseh
Mungu azidi kumlinda na kumpa afya njema mtu wa watu J
Mzee Kikwete bado ananguvu,yuko fit alafu ana nuru.hana tofauti na mzee Mwinyi maisha marefu yenye baraka na afya nzuri.
namtakia kila la heri Rais wetu mstaafu mzee Kikwete🙏
Huyu ni mtu mchafu asiyestahili hata kushabikiwa, lakini naona umati wa watu wabovu wakishangilia hata raba za mguuni. Alifanya nini taifa hili? Nini tumkumbuke leo hii?
 
Huyu ni mtu mchafu asiyestahili hata kushabikiwa, lakini naona umati wa watu wabovu wakishangilia hata raba za mguuni. Alifanya nini taifa hili? Nini tumkumbuke leo hii?
Mkuu ipo hivi HAKUNA mtu alie msafi au mkamilifu

Kwakuwa sisi hatuwa na kile kifaa cha 'uchafumeter' tumemuangalia tumeona amependeza sana

Sasa nyie wenye hivyo vifaa vya uchafumeter, ufisadimetric, wiziologymeasure n.k ndio mje mseme

Sisi tunasema amependeza na bado anaonekana anadai mathalani 2025 akirushia ndoano ya kuomba kura pale kati mzee wa kazi nakuhakikishia panaweza kuchimbika mbaya kabisa

Huo ndio ukweli
 
Hayo ni mahaba ya kizembe tu! Kupendeza na kuomba kura kuna uhusiano gani? Tufikie hatua watu kama wewe musipewe hata nafasi ya kupiga kura.
 
Hayo ni mahaba ya kizembe tu! Kupendeza na kuomba kura kuna uhusiano gani? Tufikie hatua watu kama wewe musipewe hata nafasi ya kupiga kura.
Kiongozi sijajua tatizo ni mimi au maoni yangu?

Sasa hata tukimchukia kwani itabadilisha ukweli kuwa hajapendeza??

Kwani hata kama tusipokuwa na hayo unayoyaita 'mahaba ya kizee' akigombea kura zetu mimi na wewe zinatosha kweli kumpa au kutompa urais kwa mara ya 3??

Acha ukweli uenee na uongo upuuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…