Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Mbona mapumziko yana promo kubwa sana? Why its a big deal?

PHOTO-2020-03-23-18-21-15.jpg

ETzu9CEWsAYUPr_.jpg
 
1.
Tuambie kwa kina mapumziko ya mtu ambaye ameshastaafu hana majukumu ya kitaifa anakuwa na likizo ya nini ndani ya ustaafu. Kwa nini isiwe ni utalii wa ndani?

2.
Kama kwenu wanaume wanatolewa posa, haiyumkiniki baba alikaa leba miezi tisa ukazaliwa.

3.
Jifunze adabu mvulana wa kike
1. Wanaume huwa tunajikita katika kutafuta na sio majungu na wivu miaka nenda miaka rudi.......kwetu hayo mambo ni ya dada zetu au wake walioolewa na mume mmoja a.k.a matala.
2. Kwani habari ya kuwa huko serengeti imetolewa na serikali au mdau mwenzetu tu humu JF? Vipi km alikuwa tu katika huo utalii wa ndani isipokuwa namna ya kuripoti tu ndo shida?!!!
3. Unayajua majukumu ya jk ya sasa binafsi na yale ya kitaasisi?!!!! Kule ufaransa hapa juzi kati alihudhuria kikao gani na km nani? Baada ya kutoka huko hakuwa miongoni mwa wazee wazungumzaji mkutano wa CCM taifa na nyie wachawi wake, kama kawaida yenu, mkamuwekea maneno na tafsiri zenu kibao zenye lengo la kumfitinisha na watu?!! Katika hali km hiyo, akiamua kujiendea zake serengeti kumaliza siku za mwisho za mwaka vibaya kutumika neno 'kupumzika'?!!!!
4. Vp km mtoa mada hafahamu shughuli zake nyingine kwa sasa zaidi ya uliokuwa uraisi na hivyo anamrefer kwa nafasi hiyo?!!!!! Kuna tatizo?

Enyi wachawi; jk habari zake zinafika kama hivyo kwa sababu ni star........wapo wengi tu walioenda kupumzika (mnaweza kuwapost hao mkitaka km huyu jamaa anawakera sana)
 
Mbona mapumziko yana promo kubwa sana? Why its a big deal?
Anajibu matokeo ya kamati kuu,

Kwamba hata kama NEC imejaa sukuma gang Bado plan zake zitafanikiwa kwa Sana!

Wakati wanajifanya kwenda USA kupanga mipango yao ,yeye YUPO serengeti aki date na Faru fausta!!!

Tena ana score goli saba kama za tembo!
 
1. Wanaume huwa tunajikita katika kutafuta na sio majungu na wivu miaka nenda miaka rudi.......kwetu hayo mambo ni ya dada zetu au wake walioolewa na mume mmoja a.k.a matala.
2. Kwani habari ya kuwa huko serengeti imetolewa na serikali au mdau mwenzetu tu humu JF? Vipi km alikuwa tu katika huo utalii wa ndani isipokuwa namna ya kuripoti tu ndo shida?!!!
3. Unayajua majukumu ya jk ya sasa binafsi na yale ya kitaasisi?!!!! Kule ufaransa hapa juzi kati alihudhuria kikao gani na km nani? Baada ya kutoka huko hakuwa miongoni mwa wazee wazungumzaji mkutano wa CCM taifa na nyie wachawi wake, kama kawaida yenu, mkamuwekea maneno na tafsiri zenu kibao zenye lengo la kumfitinisha na watu?!! Katika hali km hiyo, akiamua kujiendea zake serengeti kumaliza siku za mwisho za mwaka vibaya kutumika neno 'kupumzika'?!!!!
4. Vp km mtoa mada hafahamu shughuli zake nyingine kwa sasa zaidi ya uliokuwa uraisi na hivyo anamrefer kwa nafasi hiyo?!!!!! Kuna tatizo?

Enyi wachawi; jk habari zake zinafika kama hivyo kwa sababu ni star........wapo wengi tu walioenda kupumzika (mnaweza kuwapost hao mkitaka km huyu jamaa anawakera sana)
Huyounayempigia uchawa pro max ndo binvwa wa majungu kuliko wanaume wote.

Huna ujualo zaidi ya shibe na kufagilia.
 
... pensheni ya rais mstaafu ni 80% ya mshahara wa rais aliyeko madarakani among other attractive packages and benefits to the end of his life. So, ni haki yake.
Kwa mtindo huu sanduku la kura bado litaheshimiwa?
 
Back
Top Bottom