Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

UDSM, SUA na MUHAS ndo vyuo pekee nchini vyenye Maprofesa wa ukweli. Utawakuta kwenye high-impact factor international journals nyingi tu. Muslim University of Morogoro ziiiiiii
 
Hongera zake Profesa, bana atakufa njaa jamani wampe hata udiwani, mbona kule dodoma kuna Profesa kapewa udiwani wa kuteuliwa
Senate na council, zinamuona jinsi alivyokuwa mnaaa na kujali tumbo lake...

asijegeuza udsm, chuo cha kupata mafisadi papa wakomavu wa chama cha kijan
 
Wahaya kwaheri UDSM
WAHAYA tupo kibao hata prof Mukandala bado hajawa VC..

kabla ajapewa U-VC, alikuwa mlezi wa chama cha wanafunzi wanaotoka mka wa Kagera...

ila pia najivunia kusoma miaka yangu saba (minne na miwili kwa masters), chini ya PROF MKandala
 
VC wa sasa muda wake unaisha tarehe 31/12/2017 na hawezi kuongezewa muda kisheria.
Hilo linajulikana na ndiyo utaratibu.
Hakuna VC anayeteuliwa bila consent ya Rais. Senate na council ni sehemu tu ya mchakato wa lazima ili kumpata VC lakini hawezi pata hiyo position bila consent ya Rais aliyepo madarakani.
VC aliyepo aliteuliwa wakati wa Kikwete
Acha uongo ww... kisheria mkuu wa chuo ndio huteuliwa na Rais (PUBLIC UNIVERSITIES) na makamu mkuu wa chuo huteuliwa na Mkuu wa chuo..
 
Naona CV ya Prof. Anangisye imeshiba

Haya ngoja tusibili jembe jingine litakalo ziba nafasi ya Prof. Florens D.A.M. Luoga ya Deputy Vice chancellor Academic (DVCA)
Mbona ni ya kawaida tuu Mkuu
Kwa ACADEMICIAN Kuwa na level hiyo?
tena kaanzia diploma Ualimu kajiendeleza Phd. Academic staff wengi wana hiyo sifa,labda ungeeleza kitu unique ni kipi...Mfano ukisema Prof Muhongo ni bingwa wa madini watu wanaelewa,Prof Palamagamba kabudi ni bingwa wa sheria watu wnakuelewa,Prof...nk nk
Naamini atakuwa na sifa ya ziada isioelezeka kuiweka hapa...yaani uniqness unajua vyuo vya UMMA wanaangalia vitu vingi sana sana siku hizi kuacha academics hivyo anastahili jamaa kuwepo hapo japo simjui undani wake natumaini kwa wakati huu anastahili na jopo limefanya kazi yake kuchagua...good na kila la kheri.MUNGU Amuongoze afanikiwe ktk kazi yake.naamini Atafanya vema sana.
 
unavyofikili = unavyofikiri
hakuna mchakato hapo VC anateuliwa kabla the rest ni siasa tu
umeelewa nilichokiuliza? punguza haraka...

baada ya kuandika comment yako, nikakuuliza "do you think Prof BANA he dont knw the whole process to fulfill VC vacant???"
 
VC wa sasa muda wake unaisha tarehe 31/12/2017 na hawezi kuongezewa muda kisheria.
Hilo linajulikana na ndiyo utaratibu.
Hakuna VC anayeteuliwa bila consent ya Rais. Senate na council ni sehemu tu ya mchakato wa lazima ili kumpata VC lakini hawezi pata hiyo position bila consent ya Rais aliyepo madarakani.
VC aliyepo aliteuliwa wakati wa Kikwete
Absolutely right... Thanks for such nice clarifications.
 
Hujui lolote kuhusu mchakato wa kumpata VC wa Chuo kikuu cha umma... kasome university charter pamoja na Universities Act No. 7 ya 2005. Kwa taarifa Mukandala muda wake umeisha Tarehe 04.12.2017.
Usimlaumu mtu kwa kosa dogo la tarehe tu. Maeneo mengi amefafanua vyema.
 
Humble guy...toka mwalimu wa kawaida sekondari mpaka kuwa Profesa na hatimaye VC. Kila la kheri kwa kazi yako
Kawaida kwa maprofesa na madokta wengi wametokea huko.Na wengi zaidi ni from Grade IIIA/B Teachers.
 
Back
Top Bottom