Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo
Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya
1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai
Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni
2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki.
Watu walihoji na kukosa Kwa uhuru ila mwenzake Sasa, Watanganyika zaidi ya 200 yashatekwa na kuuliwa
3 Kikwete alipenda maridhiano.
Aliwaita akina Lisu, Lipumba, Maalim Seif wakapiga gahawa Ikulu, ila Sasa yeye anachomshauri mwenzake
4 Kikwete alimwaga ajira zaidi ya 60,000 Kwa mwaka ila Sasa anamshauri mwenzake aahidi ajira 7000 tu
5. Kikwete alimwaga mikopo Kwa wana vyuo, ila achoshauri mwenzake Sasa ni aibu
6. Kikwete aliruhusu maandamano ila anachomshauri mwenzake Sasa, maandamano anayaita kuzua taharuki
7 Kikwete aliruhusu uhuru wa vyombo vya habari ila anachomshauri mwenzake Sasa, anataka media ziimbe mama Mama mama
8 Kikwete hakuuza Rasimali zetu muhimu ila achoshauri mwenzake Sasa auze bandari, auze Ngorongoro, n. K
Urafiki wa hawa me siuelewi