Pre GE2025 Rais mteue January Makamba awe Balozi huko nchi ya mbali kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo wewe unataka samia aendelee kuwa madarakan kwa awamu nyingine? Amefanya yapi kwa muhula wote huu? Nchi haijapiga hatua zaidi ya maden na mikataba ambayo watanzania tumeikataa. Acha kina makamba na wengine watuletee mabadilikn ndani ya chama. Samia tukimpa tena hiyo mitano cha moto tutakiona nakuambia.
 


Mkuu kea mfumo wa ccm ni ngumu mno, labda mambo yalibike sana
 
Honestly last time alizingua mpaka watu waka wish atumbuliwe na likatokea kweli.
Baba yake ndie mwenye ushawishi, na kama si baba yao wasingekuwa hapo walipo leo

Wajipange upya
Ukiwa na watu kwenye siasa ndio mtaji mkubwa, mzee makamba anawatu sana, pamoja na kikwete
 
Wewe ni mpumbavu.
Kwani hakuna watanzania wengine mpaka Makamba tu.
Pumbavu sana.
 
KIjana
 
Huyo na Nauye ujanja wao ni wizi wa kura, ama kuhonga wagombea wenza kujitoa.

Hawana ushawishi ama popularity yoyote hao, usiwapatie 'meleji' za bure.

Wote hao hawajashawishi maendeleo hata kwao walikozaliwa.
Sasa ushawishi wao ni upi!
 
Hana lolote huyu kazi kujiamini kuliko uwezo. Mtu fisadi tu hana uzalendo ila utii kwa wamagharibi. Ana tamaa ya madaraka na kujitajirisha yeye na ukoo wake visivyo halali. Alichofanya wizara ya nishati mungu anajua. Maana alimleta dada yake tanesco akampa dili kubwa tu kupiga hela ya umma. Hana uchungu wowote na umma wa wananchi. Akijitokeza bila shaka atapigwa chini kama ilivyokua kwa lowassa.
 
Hizi ni fitna miongoni mwa wale Vijana wanne wanaotamani ile nafasi wakiongozwa na yule Daktari bingwa wa Uchumi.

Wanatumia ule usemi "Fimbo ya mbali haiui Nyoka"

Kweli Siasa ni Sayansi 🙌
 
Kazi ngumu sana
 
Hizi ni fitna miongoni mwa wale Vijana wanne wanaotamani ile nafasi wakiongozwa na yule Daktari bingwa wa Uchumi.

Wanatumia ule usemi "Fimbo ya mbali haiui Nyoka"

Kweli Siasa ni Sayansi 🙌
Umeona wale vijana wamejipanga sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…