Ndani ya wajumbe mkuu ebu ona video hapo juuHuyo na Nauye ujanja wao ni wizi wa kura, ama kuhonga wagombea wenza kujitoa.
Hawana ushawishi ama popularity yoyote hao, usiwapatie 'meleji' za bure.
Wote hao hawajashawishi maendeleo hata kwao walikozaliwa.
Sasa ushawishi wao ni upi!
Akaungane na slowslowNakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.
Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.
NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.
Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Nchi hii ni ya kijinga sana watu wasio na Akili ndio wanaonekana wanafaa,hii nchi inaelekea kubaya sana ujinga umekuwa mwingi kuliko Akili,unajiuliza maswali Hv January ana nini ukilinganisha na wenye Akili,kazi tunayo kwa kweli na safari yetu ni ndefu sana.Hivi kwani mbunge wa kuchaguliwa anaweza kuwa balozi? Mbona wanaogopa sana wakisikia jina la January, huyu jamaa anawapa stress kwakweli.
Siasa mara zote ipo hivyoUmeona wale vijana wamejipanga sanaaaa
Hizo zilikuwa ni kampeni za 2015 wakati watu hawajamfahamu vizuri.Ndani ya wajumbe mkuu ebu ona video hapo juu
Nchi hii ni ya kijinga sana watu wasio na Akili ndio wanaonekana wanafaa,hii nchi inaelekea kubaya sana ujinga umekuwa mwingi kuliko Akili,unajiuliza maswali Hv January ana nini ukilinganisha na wenye Akili,kazi tunayo kwa kweli na safari yetu ni ndefu sana.
Huyo dogo mnapa sifa ambazo HanaNakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.
Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.
NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.
Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Hahaha mtaani kugumu sana mkuuUmeona ilivyo ngumu Kujiajiri??! Ndugu January hata hujamaliza mwaka Benchi umesha anza kutuma funza na chawa mitandaoni wakuombee ajira urudishwe serikalini??!!! Huwa mkiwa huko bungeni mnaropoka hovyo hovyo vijana wajiajiri, mkitumbuliwa mnaanza kutia huruma. Bogus.
Ana mvuto ndiyo maana aliolewa na baba angu nikazaliwa, hata wewe una mvuto kwa mumeoMama yako wewe anao mvuto gani?
Huyo ni Presidential candidate 2025? Au wanamuogopa wasio na sifa?Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.
Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.
NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.
Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
We mchepuko wake. Mfanye awe rais au balozi wa familia yenu. Njaa inakusumbua. Huyo kilaza mbaki naye huko kama unampenda sana mzalie watoto wengi. Hatutaki takataka hizo tena.Nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano! wa Tanzania, Pole na majukumu na heka heka za uchuguzi.
Kwa usalama wako ndani ya mkutano mkuu, mpinzani mkubwa wako ni January makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.
Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu. Hivyo ukimteua kuwa balozi ladba huko Mexico, au Canada kwa lengo la kumpunguza nguvu kisiasa.
NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako. Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM, hao wanaokuzunguka ni wanafiki.
Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
naunga mkono hoja January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best PresidentJanuary makamba.
Kijana huyu ni mwasiasa mzuri tu na ana ushawishi kutoka kwa vijana na wazee, amejiandaa kisaikolojia, kifedha, na kitechnolojia.
Usisahu huyu amewai kuwa mshindi wa tatu huku nyuma, katika kura za maoni hivyo kisiasa ana nguvu.
utoaji fomu moja ndio utaratibu wa CCM na sio hoja ya mtu yoyote kuruhusu。NB: Ukiruhusu kutoa form zaidi ya moja ndani CCM ndio mwisho wako.
si kweli,wana CCM wote kwa sasa mtu wao ni mmoja tuu, the one and only yeye。Kwanini, kwa sababu wewe huna watu, ndani ya CCM,
ni baadhi tuu na sii wote。hao wanaokuzunguka ni wanafiki.
2030 ni mwaka wa kiama, ama zao ama zetu Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Lakini pia bila shaka 2030, utatamani umuweke mtu wa karibu na wewe, hawa vijana watukusumbua sana.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
NA braza January ni mkimya na hapendi siasa za UchawaHivi kwani mbunge wa kuchaguliwa anaweza kuwa balozi? Mbona wanaogopa sana wakisikia jina la January, huyu jamaa anawapa stress kwakweli.