Pre GE2025 Rais mteue January Makamba awe Balozi huko nchi ya mbali kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu ana nguvu za baba ake
baba mwenyewe alivyokua ccm gs alichokifanya kinajulikana,personal performance yake ingembeba lkn yeye alipokuwa nishati ndiyo ilikuwa ovyo na hadithi za gallanosi ndiyo zinammaliza kabisa.atafute Cha kufanya kuliko kuleta ambitions za familia kwenye ofisi za serikali.
 
Egonga
 
Ampeleke Ikweta ya Guinea
 

Attachments

  • Screenshot_20241105_152608_X.jpg
    170.3 KB · Views: 3
Rais anae maliza mda wake amteue Rais ajaye kwenda wapi ??
 
Kama anasumbua sana weka ndani na hakuna dhamana 😅😂😂 !
Mbona kazi rahisi tu ??! 😳
 
 
Huyu ni mbunge wa kuchaguliwa na Wananchi anakuwaje Balozi nje?
 
Kwani ni lazima akubali?
 
Januari Makamba ndio Rais ajaye wa Tanzania 2025, CCM haiwezi kuendelea kufanya majaribio kwenye uongozi wa Nchi.
 

Tatizo lako Makamba ukichaguliwa unakuwa na kiburi sana!
 
Januari nje ya bumbuli hana ushawishi wowote msimkuze...

Januari kama anajiamini achukue fomu, iwe 2025 au 2030 aone kama kuna mtu anachagua propaganda badala ya kazi...

Ukiondoa wizi na propaganda za kujifanya akili nyingi kinabaki kipara kisicho na kitu...
 
Woga wa nini?
Acheni demokrasia ifanye kazi. January Makamba apewe fomu akiomba.
Mh.Samia atashinda tu akishindanishwa na yeyote wakati yeye bado akiwa mwenyekiti wa CCM na raisi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…