Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia mahindi anayopata shambani kwake,ni mara 3 ya mahitaji ya Kenya,hivyo tusitarajie tena soko la mahindi KenyaEti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
Kwahiyo miaka yote Wakenya wanaangaika na mahindi ya Bongo hayo yake alikuwa akiyafanyaje?Nasikia mahindi anayopata shambani kwake,ni mara 3 ya mahitaji ya Kenya,hivyo tusitarajie tena soko la mahindi Kenya
Tanzania haihitaji kutegemea hisani ya raisi yoyote wa nchi jirani.Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
Kauli ya kijasiri sana hii. Uhalisia TZ masikini ni wengi sanaTanzania haihitaji kutegemea hisani ya raisi yoyote wa nchi jirani.
Infact Tz ni nchi pekee inayoweza kuiwekea vikwazo vya kiuchumu Congo Drc, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda, Comoro, Malawi na Sudani ya kusini zote kwa pamoja na isiathirike pakubwa.
Tz ni nchi kubwa. Hakuna nchi nyingine yeyote kusini mwa jangwa la Sahara yenye uwezo huu...
Tz is the United State of Sub Sahara - Africa...
Kenya hamna maskini wengi?Kauli ya kijasiri sana hii. Uhalisia TZ masikini ni wengi sana
Kuwazidi wana CCM?Ni fisadi wa hali ya juu, Kenya wanastahili maombi, wote na makamu wake ni wezi wa hali ya juu
Mjinga mwingine tangu asubuhi nahesabu wajinga wewe ni wa 89Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
Makamu wa Raisi ana Excutive power? Hivi kwa nini mnakuwa wajinga kiwango hiki?Ni fisadi mwenye misimamo mikali asiye na uzoefu wa kidiplomasia. So tutegemee sera zenye mrengo wa kuipendelea Kenya meaning biashara za Tz huko Kenya zitaenda kufa asubuhi na mapema.
However kwa kuwa Rais wa Tanzania ni mpole Ina maana sie tutakua tunamuita Ruto mezani kulia lia "alegeze kamba". So sitegemei tutakua na mgogoro wowote zaidi ya sisi kukandamizwa.
Apart from that, sitegemei makubwa kutoka kwake maana kawa makamu miaka 10 ila sijaona lolote la maana alilofanya kwa nchi yake zaidi ya ufisadi na kushinda barabarani kupiga kampeni.
Tanzania Inanufaika ki vipi [ kimaendeleo/kiuchumi ] kupitia kutegemewa na hizo nchi ulizo zioanisha ?Tanzania haihitaji kutegemea hisani ya raisi yoyote wa nchi jirani.
Infact Tz ni nchi pekee inayoweza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Congo DR, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda, Comoro, Malawi, Zambia na Sudani ya kusini zote kwa pamoja na isiathirike pakubwa.
Tz ni nchi kubwa. Hakuna nchi nyingine yeyote kusini mwa jangwa la Sahara yenye uwezo huu...
Tz is the United State of Sub Sahara - Africa...
Wachina wataisoma namba katika nini ?Dizaini ya Magufuli. Yaani wanyonge watapata raha. Sema matajiri wataisoma number. Kenya kwanza. Wachina wataisoma number. Ila najua atafanya kazi vizuri na mabeberu tofauti yake na Magufuli aliewachukia mabeberu. Na nje yeye atasafiri sana tena sana,tofauti na Magufuli.