Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

Kila goti litapigwa kwa nchi yetu Tanzania [emoji1241] walahi [emoji2]
 
Tanzania haihitaji kutegemea hisani ya raisi yoyote wa nchi jirani.

Infact Tz ni nchi pekee inayoweza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Congo DR, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda, Comoro, Malawi, Zambia na Sudani ya kusini zote kwa pamoja na isiathirike pakubwa.

Tz ni nchi kubwa. Hakuna nchi nyingine yeyote kusini mwa jangwa la Sahara yenye uwezo huu.

Tz is the United State of Sub Sahara - Africa.
True
 
Ruto ni rais wa 5.hivyo tegemea 5 ile ya kwetu iliyopita ndio itakua kwao wakenya.
Maana kaulimbiu zinafanana pia kizingizio cha kumtaja mungu nacho ni sawa kwa kila jukwaa...ogopa sana hii namba5.
 
Pokotisms wameshika madaraka mapya ndani ya Kenya
Ngoja tuone huko mbeleni nini kitakachojiri
 
Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
Wewe jamaa ni ajabu sana...

Unauliza utegemee nini toka kwa mume/mke wa jirani yako ambaye ndiye tu kaoa/kaolewa badala ya ku - concentrate kutengeneza ndoa ya mume/mke wako..? Really..?
 
Wewe jamaa ni ajabu sana...

Unauliza utegemee nini toka kwa mume/mke wa jirani yako ambaye ndiye tu kaoa/kaolewa badala ya ku - concentrate kutengeneza ndoa ya mume/mke wako..? Really..?
Ndiyo maana nimeita wajuvi wa mambo ya kikanda
 
Back
Top Bottom