Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,479
- 2,877
Kwahiyo miaka yote Wakenya wanaangaika na mahindi ya Bongo hayo yake alikuwa akiyafanyaje?
New maize shock as Tanzania freezes exports permits for Kenyan traders
Tanzania has for the last two years become a key source market for maize to bridge deficits experienced in Kenya.
Rejea malalamiko waliyonayo baada ya kupungukiwa na mahindi toka Tz;
Kenya inategemea Tz kwa soko la bidhaa ghafi kama mahindi, nyanya, vitunguu, tangawizi, ng'ombe, pumba za mahindi, ngozi, chai then wakichakata na kusindika wanatuletea leather, packaged beef & sausage;
Tungekuwa na mipango sahihi tuwauzia final consumables goods badala ya kuendelea kuuza malighafi kwa Kenya.