fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Huku kwetu Tanzania naona tiba asili zinashindikana kabisa,ila kua tetesi kua kuna dawa ya kienyeji ya kufukiza mnaitumia, hebu tupeni nasi walau ili tuendelee kupambania kwa pamoja maana sisi ni majirani zenu, mkificha jua mtapata tabu na mipaka yenu kufunguliwa na kushindwa kua huru kwa nchi za jumuia ya africa mashariki hasa katika nyanja za kiuchumi.
Ahsante
Ahsante