mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
M7 ni kiongozi anayejua anapambana vipi na janga hili la corona. Sio kama yule Mzee wa nchi ya Kusadikika!Usipomwelewa Museveni wewe ndiyo jinga la mwisho. GARAMBUKA!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M7 ni kiongozi anayejua anapambana vipi na janga hili la corona. Sio kama yule Mzee wa nchi ya Kusadikika!Usipomwelewa Museveni wewe ndiyo jinga la mwisho. GARAMBUKA!!
Watanzania wengi wana ugonjwa wa akili,walalamishi,wajinga mara leo wanamshobokea kagame,kesho kenyatta,mtondogoo museven.
Hujathibitisha Mungu yupo.Sasa wewe sources zangu zinakuhusu nini? Kisingizio ili ukwepe kazi uliyojipa mwenyewe?
Tunahitaji watu kama hawa akina Kinjeketile ngwale...ni watu wenye uthubutu wa kipekee!Kule kenya wanamuita kinjekitile, matendo yake yanaonekana wazi
Ngoja kwanza, you mean jiwe aendelee kuwepo madarakani hadi UMRI wa M7? Au sijakuelewa?Aaaah
Mzee amekuja kujielewa uzeeni
Ikifika miaka hiyo na mim Jiwe ntajielewa
Mkuu, hili unamuuliza M7 au sisi wachangiaji?Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.
Tusije kujadiliana mengi sana kabla ya hilo.
Nimemuelewa kwamba Uganda is full of "idiots"Usipomwelewa Museveni wewe ndiyo jinga la mwisho. GARAMBUKA!!
Mkuu hii Id yako imepotea sana hapa jukwaani, isije ikawa UVIKO imefanya yake. Kama upo hai like tu hata hii post.Kuna watu huwa hawajielewi....
hii naita makavu live.Mseven adressing the nation...
matamshi yake.. imefikia mahali hata PK anatuchukulia powa.Hili ni dongo kwa mh.pombe, raisi wetu anadharaulika sana, sijui aliwakosea nini!
kuna kudhiakiwa kwa bahati mbaya. yaani watu wanakuonea wivu. Then luna kudhihakiwa kwa makusufi kabisa... yaani ww ndio umetaka kwa matendo yako.Kwa sisi wasabato tunaamini ukidhihakiwa sana jua kuwa Mungu yupo pamoja na wewe na lazima aoneshe ukuu wake kwako
Mmmh unamuongelea jamaa?Hata saa mbovu kuna wakati inaonyesha majira sahihi!!