fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,372
- 4,090
Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa hekalu, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini 10 kwa maana imeandikwa:‘Atawaamuru malaika wake wakulinde,’Ni kweli kwa Mungu hakuna kazi ngumu ila Mungu huwa hajishughulishi na wajinga wanaomjaribu. Ndio maana maandiko ya Biblia yanasema usimjaribu Mungu wako.
Facts za uthibitisho kwamba Mungu yupo umezitoa wapi?Reversal of burden of proof! Mimi nikisema kuwa Mungu yupo na nikakupa facts za uthibitisho wangu lakini wewe ukazikataa, unayetakiwa kuthibitisha the opposite (kuthibitisha kutokuwepo Mungu) unakuwa ni wewe (because it's your assertion) kwa ku-supply facts ambazo zita-refute zile za kwangu. Kwa hiyo unayetakiwa kuthibitisha kuwa Mungu hayupo, ni wewe,..., let's say hata kwa kusema tu kuwa kama yupo basi akutandike na corona, as simple as that.
Hatuwezi kuendelea kuwa na debate hiyo hiyo miaka karibu 20 sasa, mwishowe tuatonekana kuwa kama idiots
Na wewe utupe fact za uthibitisho kuwa hayupo?Facts za uthibitisho kwamba Mungu yupo umezitoa wapi?
Maombi yaendane na kujikingaNa wewe utupe fact za uthibitisho kuwa hayupo?
huyu case za mwanzo kabisa alizuia mabasi daladala alivyoona mnatumia magari binafsi kusanya watu akasema sasa ni baiskeli tu.... akaoga marufuku usafiri wa anga na sasa imelipaHuyu mzee apiki data kweli za case za maambukizi ya corona [emoji848]
Standard yako ya kukubali fact ya uthibitisho ni ipi ili nijue tunakwenda kwa msingi gani?Na wewe utupe fact za uthibitisho kuwa hayupo?
Sasa wewe sources zangu zinakuhusu nini? Kisingizio ili ukwepe kazi uliyojipa mwenyewe?Facts za uthibitisho kwamba Mungu yupo umezitoa wapi?
Mh. Rais Mseven amesema hivi:.."he can not just be here in Uganda looking after idiots". Anawaeleza wananchi wake anaoona pengine wanafanya mzaha na hili swala la Corona, wasije wakasababisha madhara halafu vifo vikatokea wakati Uganda bado haijapata kifo hata kimoja hadi kufikia muda huu.View attachment 1425361
Cha ajabu kuna Watu wamefikiri huu ujumbe ameuelekeza Tanzania
View attachment 1425369
Kule Kenya wanamuita Kinjekitile, matendo yake yanaonekana waziHili ni dongo kwa mh.pombe,raisi wetu anadharaulika sana,sijui aliwakosea nini!
Maneno mujarabu kabisa..........mwenye kuelewa na aelewe sasa....Aliozungumza yana ukweli au ndio Mungu haziakiwiView attachment 1427807
Sent using Jamii Forums mobile app