Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Zanziba hawana maeneo ya kuchim a mchanga wala kokoto.Zanzibar hawana hata mchanga???maajabu
Mwinyi hataki kucheka na kima, wakandarasi wakizingua wanatolewa tu nishai, hakuna kuremba. Nimemuelewa sana Mwinyi katika hili.Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar.
Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo.
Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara.
Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na maelezo ya Rais, ni mkadarasi kuomba kuongezewa muda kwa miezi sita!
Na Consulant eti alitakiwa kuongea kile Rais anapenda kusikia!
Ajabu sana hii.
Nani asiyejua Zanzibar hakuna kokoto wala cement , wala mchanga, VYOTE VINATOKA BARA.
Kwa msimamo kama huu kwa nini makandarasi wa SGR na wale wa Bwawa la Umeme JNHP-Stieglers wasisimamshwe?
Tunaona kuna element ya siasa za Uzanzbari katika hili.
View attachment 2294254
Mama anaingiaje kwenye mambo yako yakijinga?.Umeshindwa kutetea hoja unakimbikia kutukana.Mwizi mkojo wa mama yako.
Lianza wewe, mimi namalizia.Mama anaingiaje kwenye mambo yako yakijinga?.Umeshindwa kutetea hoja unakimbikia kutukana.
Hivi wewe matako kila mtu unamuona hana akili? PuumbafuWatu mlio na akili ndogo ndogo na wenye vijumba vya nyasi, akili zenu vigumu kuelewa kwa nini hata SGR na Stiglaz bado ziko nyuma ya wakati kukamilika.
Mkandarasi kajua lini kuwa Mchanga na Kokoto zinatoka bara? Acha kujitetea we mwizi
Matako ya mama yako!Hivi wewe matako kila mtu unamuona hana akili? Puumbafu
We shoga...unataka kusema mama yako hana matako?Matako ya mama yako!
Rudi kwenye mada mazee!We shoga...unataka kusema mama yako hana matako?
Unamaanisha hiki kipengele waliki-overlook wakati wanatengeneza mkataba wao?. Basi kama ni hivyo; this amounts to negligence on the side of the contractors na hivyo Mh. Rais bado yuko sahihi 100%Ajabu sana hii. Nani asiyejua Zanzibar hakuna kokoto wala cement , wala mchanga, VYOTE VINATOKA BARA.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watu mlio na akili ndogo ndogo na wenye vijumba vya nyasi, akili zenu vigumu kuelewa kwa nini hata SGR na Stiglaz bado ziko nyuma ya wakati kukamilika.
He..!!, Kumbe zanzibar hakuna mchanga?...!! Kwahiyo wamejenga juu ya nini?Mkandarasi kajua lini kuwa Mchanga na Kokoto zinatoka bara? Acha kujitetea we mwizi
% ndiyo shidaMkandarasi kajua lini kuwa Mchanga na Kokoto zinatoka bara? Acha kujitetea we mwizi
Tatizo la watu wajinga wajinga ni kuhamisha matatizo yao kwa mkandarasi na kufikiri ndio jibu la matatizo yao.Unamaanisha hiki kipengele waliki-overlook wakati wanatengeneza mkataba wao?. Basi kama ni hivyo; this amounts to negligence on the side of the contractors na hivyo Mh. Rais bado yuko sahihi 100%
Mimi si shabikiwa mwendazake.Ila jiulize hivi vitiKwanini unaleta ubara na uvisiwani kwenye ishu za uzembe wa mkandarasi. Ndio maana mashabiki wa mwendazake mnaonekana hamnazo na wabaguzi.
Pole bil shaka ulijifunza matusi nyumbani kwenu!! Ni aibu kwa waliokulea!!Unatumia nguvu kubwa sana kutetea ujinga kenge wewe