Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

Rais Mwinyi hapa umekosea sana, ‘contractors bashing’ unaifanya sehemu ya siasa

Nimesikitishwa na kauli za Rais wa Zanzibar juu ya mkandarasi aliyekuwa akijenga jengo la serikali huko Zanzibar.
Mwinyi naona kaingiza siasa kwenye kazi za kitaalam isivyo.

Kwa muonekano tu Mkandarasi na Consultant wanatoka Bara.

Sababu za kuwafuta hiyo contract haziko wazi, lakini tokana na maelezo ya Rais, ni mkadarasi kuomba kuongezewa muda kwa miezi sita!
Na Consulant eti alitakiwa kuongea kile Rais anapenda kusikia!

Ajabu sana hii.
Nani asiyejua Zanzibar hakuna kokoto wala cement , wala mchanga, VYOTE VINATOKA BARA.

Kwa msimamo kama huu kwa nini makandarasi wa SGR na wale wa Bwawa la Umeme JNHP-Stieglers wasisimamshwe?

Tunaona kuna element ya siasa za Uzanzbari katika hili.
View attachment 2294254
Mwinyi hataki kucheka na kima, wakandarasi wakizingua wanatolewa tu nishai, hakuna kuremba. Nimemuelewa sana Mwinyi katika hili.
 
Mama anaingiaje kwenye mambo yako yakijinga?.Umeshindwa kutetea hoja unakimbikia kutukana.
Lianza wewe, mimi namalizia.
Ukija moto bila hoja unarudishiwa moti kwa viwango vile vile.
Lakini hoja ni kwamba, Rais Mwinyi anacheza siasa pasipo na siasa.
 
Ila wengi wa local contractors wanazingua sana, kuna daraja barabara x nadhani lina miaka miwili linajengwa limemalizika mwezi jana. Hilo daraja ni kwenye hizi barabara zetu za TARURA almost hatua 25 urefu wake
 
Hii nchi ndomana haiendelei kwakutetea uzembe kama huu, mkandarasi kashachukua pesa lakini kazi hafanyi kama walivokubaliana mnataka bado achekewe tu? wakandarasi kama hawa ndomana miradi mingi inakufa watuwanaishia kupiga hela tu, Hongera rais Mwinyi kazia hapohapo ili iwe funzo kwawengine.
 
Ajabu sana hii. Nani asiyejua Zanzibar hakuna kokoto wala cement , wala mchanga, VYOTE VINATOKA BARA.
Unamaanisha hiki kipengele waliki-overlook wakati wanatengeneza mkataba wao?. Basi kama ni hivyo; this amounts to negligence on the side of the contractors na hivyo Mh. Rais bado yuko sahihi 100%
 
T
Unamaanisha hiki kipengele waliki-overlook wakati wanatengeneza mkataba wao?. Basi kama ni hivyo; this amounts to negligence on the side of the contractors na hivyo Mh. Rais bado yuko sahihi 100%
Tatizo la watu wajinga wajinga ni kuhamisha matatizo yao kwa mkandarasi na kufikiri ndio jibu la matatizo yao.
 
Katiba mpya itachora mstari wa siasa na utaalamu !na sio kama Sasa ambapo wanasiasa wanaweza kumfanya chochote mtaalamu hata kama ni kinyume cha utaalamu wenyewe!

Katiba itawasimamia wataalamu kutekeleza majukumu yao ipasavyo KWA wakati bila kuingiliwa na Mwanasiasa yeyote!!!



"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
 
Kwanini unaleta ubara na uvisiwani kwenye ishu za uzembe wa mkandarasi. Ndio maana mashabiki wa mwendazake mnaonekana hamnazo na wabaguzi.
Mimi si shabikiwa mwendazake.Ila jiulize hivi viti
  • Je mkandarasi ana mkataba?
  • Mkataba unasemaje, kama mkandarasi amechelewesha kukabidhi mradi?
  • Msimamizi wa mradi yupo?
  • Ripoti zake msimamizi zimepitiwa?
  • Matatizo anapopitia mmkandarasi, je mwenye jengo( serikali) anayajua?
Kitendo cha Rais kutozingatia hata namna ya kumsimamisha mkandarasi, hii inatia hofu kuwa Rais analeta siasa kwenye proffessional jobs, alimradi ana madaraka ya kufukuza.
Inaelekea kuna minong’ono kwa mkandarasi kaletwa na Rais, kama alivyo kiri.Kwa hiyo Rais kaamua kumfukuza mkandarasi kwa madaraka aliyonayo, ili kuwafurahisha wananchi wake.

Nigamshangaa mkandarasi atakayechukja kazi za serikali ha Zanzibar akitoka huku bara kwa misingi hiyo.
 
Ana hali ngumu kisiasa, vijamaa vya ACT vinamuhenyesha vikiongozwa na Jussa
 
Back
Top Bottom