Wanaelimishwa uislam na Alhamudillah wengi wanasilimuKesho mtawaambia Wavue RUBEGA kuwa wanatembea uchi na wavae makanzu ya kiarabu kama mnavyovaa ninyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaelimishwa uislam na Alhamudillah wengi wanasilimuKesho mtawaambia Wavue RUBEGA kuwa wanatembea uchi na wavae makanzu ya kiarabu kama mnavyovaa ninyi
Wamasai wengi siku hizi wanaijua haki na wanasilimuItafikia zamu utanyanganywa chupi uliyovaa na utaona sawa.
DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha.
View: https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ
Kauli yake si tu inavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali inakiuka mikataba mbali mbali ya kimataifa ambayo Tanzania imeiidhinisha inayolinda haki ya raia kushiriki katika mambo ya kitamaduni.
Rejea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 13.
Rejea, Universal declaration of Human Rights, 1948.
Rejea, International Covenant on Economic, Social and Cultural rights.
Sheria zote hizo zinaipa serikali wajibu wa kulinda na kutengeneza mazingira kwa raia wake kuishi wakiwa na uhuru wa kufuata tamaduni zao.
Rungu na sime ni moja wapo ya utambulisho wa tamaduni ya wamasai inayokwenda pamoja na vazi la Rubega.
Kuwapiga marufuku wamasai kufuata tamaduni zao si tu kwenda kinyume na haki za binadamu bali ni kukiuka misingi yote iliyowekwa na jamii za kistaarabu katika kuhakikisha kuwa binadamu anafurahia uwepo wake duniani bila kunyanyapaliwa na mwenzake.
Kauli hii ya DC si tu ya kibaguzi bali inahatarisha ustawi wa Muungano na amani katika nchi.
Ni jambo la kukemewa na kila mwenye nafasi ya kufanya hivyo.
Nakuomba Rais Mwinyi usiache kumchukulia hatua DC huyu au la itatafsiriwa kuwa haya ni maagizo yako na itaingia katika historia ya Taifa kuwa katika utawala wako uliwahi kukandamiza haki za wengine.
Usione aibu kuchukua hatua.
Wewe ni wa hovyo tuu! Aliyedunda mtu ndo akamatwe,sio wahalifu na wamedunda mtu huko zenji??
tena kwa kuwachangia na marungu yao.

Wewe ndio mjinga usietambua haki za wengine.Mnawadekeza sana hao wajinga, dc yuko sawa, kama sheria haziruhusu kutembea na siraha basi watu wote wasitembee na siraha.
Tamaduni haziko juu ya sheria, huu ujinga wameufanya Kenya kwa wapokot, leo wale jamaa wanamiliki bunduki na wamekuwa tishio.
Hata hao wazungu wanaotaka tuendelee kuishi kijingajinga ili wao wakija wafurahi na kutupiga picha hawawezi Kukubali hao masai wenu watembee na sime wakiwa ughaibuni.
Kama kuna kosa limefanyika si aadhibiwe aliyefanya??Mimi kwa kiasi fulani sioni shida kwa hiyo amri ya DC, hasa linapokuja suala la uhakika wa usalama kwa kila mwananchi.
Hakuna uhuru usio na mipaka, hivyo hata kama ni utamaduni, basi izingatiwe mipaka ya kutofanya wengine kuishi kwa hofu.
Wajua kisu kikiwa jikoni huwa ni moja ya vitendea kazi, lakini kisu hichohicho kikiwa sebuleni au chumbani huitwa silaha.
Kila jambo na mahali pake na wakati wake. Wamasai waache sime na marungu nyumbani, waingie mtaani na shuka & shanga zao, xinatosha.
Ova
Kitu kimefabywa hapo ni kudhibiti mwanya wa kufanyika hilo kosa. Kwa kuwa madhara yake ni makubwa.Kama kuna kosa limefanyika si aadhibiwe aliyefanya??
Kwanini kuadhibu jamii nzima kwa maelfu ya watu.
Au wewe unaona sawa jamii kuhusishwa na matendo ya mtu mmoja.
Ndiyo, ataruhusiwa. Kama wenye bastola/bunduki tunaruhusiwa iweje kwa wenye sime?Vipi akienda airport anaweza kuruhusiwa kupanda ndege akiwa na sime??
Tusiwaendekeze sana, ndo yaleyale ya magu na wamachinga.
Unaruhusiwa ila kuna utaratibu wake.Vipi akienda airport anaweza kuruhusiwa kupanda ndege akiwa na sime??
Tusiwaendekeze sana, ndo yaleyale ya magu na wamachinga.
Mbunge wa Jimbo la Zanzibar anawapiga kura 2,600. Diwani wa Magomeni ana Wapiga kura 30,000Hivi hiyo Wilaya ni sawa na Kata ya Daraja 2 au mtaa wa Oltrumet !.
Mh. H.A.MwinyiMa DC wa wilaya za Zanzibar wanateuliwa na nani?
Sasa sime ya nini ?mjini?
DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha.
View: https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ
Kauli yake si tu inavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali inakiuka mikataba mbali mbali ya kimataifa ambayo Tanzania imeiidhinisha inayolinda haki ya raia kushiriki katika mambo ya kitamaduni.
Rejea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 13.
Rejea, Universal declaration of Human Rights, 1948.
Rejea, International Covenant on Economic, Social and Cultural rights.
Sheria zote hizo zinaipa serikali wajibu wa kulinda na kutengeneza mazingira kwa raia wake kuishi wakiwa na uhuru wa kufuata tamaduni zao.
Rungu na sime ni moja wapo ya utambulisho wa tamaduni ya wamasai inayokwenda pamoja na vazi la Rubega.
Kuwapiga marufuku wamasai kufuata tamaduni zao si tu kwenda kinyume na haki za binadamu bali ni kukiuka misingi yote iliyowekwa na jamii za kistaarabu katika kuhakikisha kuwa binadamu anafurahia uwepo wake duniani bila kunyanyapaliwa na mwenzake.
Kauli hii ya DC si tu ya kibaguzi bali inahatarisha ustawi wa Muungano na amani katika nchi.
Ni jambo la kukemewa na kila mwenye nafasi ya kufanya hivyo.
Nakuomba Rais Mwinyi usiache kumchukulia hatua DC huyu au la itatafsiriwa kuwa haya ni maagizo yako na itaingia katika historia ya Taifa kuwa katika utawala wako uliwahi kukandamiza haki za wengine.
Usione aibu kuchukua hatua.
We acha ubwege, ficha huo upumbavu wako.Wamasai sio wamachinga.
Ni Raia wa Tanzania kama wewe mwenye haki ya kuishi akifuata utamaduni wake.
Zanzibar sio Airport.
Unajua kisu kwenye mfupa? Ndio hiki ninachokisoma hapa.Mimi kwa kiasi fulani sioni shida kwa hiyo amri ya DC, hasa linapokuja suala la uhakika wa usalama kwa kila mwananchi.