Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sawa.aKuwa na consistence kwenye arguments andika jambo halafu uwe na kumbukumbu ulichoandika hapo awali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.aKuwa na consistence kwenye arguments andika jambo halafu uwe na kumbukumbu ulichoandika hapo awali.
Tahadhari kabla ya hatari, kwann utembee na siraha waziwazi bila kibali?Ni kabila limepiga mtu au ni mtu wa kabila la kimasai kapiga mtu.
Tumia akili kama unazo kama huna kaa kimya.
Ukeketaji, ndoa za utotoni zote hizo ni tamaduni za watu ila zimepigwa ban maana zinahatarisha usalama wa wengine.Upuuzi ni kutoheshimu tamaduni za wengine.
Wamasai sio wahalifu ni raia kama wengine.
Jambo hili limetia doa kwenye CV ya Mwinyi.
Endeleeni kutetea upuuzi.Wamasai sio wamachinga.
Ni Raia wa Tanzania kama wewe mwenye haki ya kuishi akifuata utamaduni wake.
Zanzibar sio Airport.
Hizo silaha nyingine huruhusiwa kwa watu waliofanyiwa uhakiki wa kina, tofauti na makabidhiano ya hizo sime za hawa mabwana.B… wewe tokea unazaliwa si umekuwa unawaona Wamasai na sime zao? Huo mwanya wa hilo kosa ni upi ambalo halijawahi kufanyika miaka yote hii?
Ni lini umewahi kuona Masai anatoa sime yake kujeruhi watu kiholela? Kama ndivyo, kwanini watu wanaruhusiwa kutembea na deadly weapons ambazo mtu huombi maji?Kama hoja ni kuziba mwaya wa kosa kufanyika.
Kwani awamu hii Masai tumewakosea nini? Tamaduni zetu zinavurugwa kila upande. Tumehamishwa kwenye makazi yetu ya asili, na sasa tunavamiwa kwenye utamaduni wetu wa asili maungoni.
Na hii trend haitoishia hapo, hata mavazi nayo yatapigwa marufuku at this rate! It’s a high time huu uonevu ukome, kama na sisi ni wakimbizi mseme pia.
B… huu mjadala tuuweke katika lile kabati letu, tutaujadili sehemu nyingine sio hapa.Hizo silaha nyingine huruhusiwa kwa watu waliofanyiwa uhakiki wa kina, tofauti na makabidhiano ya hizo sime za hawa mabwana.
Katika vitu vinavyoathiriwa sana na mabadiliko ya mazingira na kijamii ni baadhi ya tamaduni, kama vile lugha na vyakula.
Hiyo zamani jamii ya Kimasai haikuwa sana maeneo ya mijini. Walibaki katika mazingira yao yaliyohitaji kuwa na sime muda wote.
Hali ya mabadiliko ya tabia nchi ni yamelazimisha Mmasai kuondoka katika mazingira yake, anaenda kwa jamii zenye tamaduni tofauti.
Kwenye hizo jamii kutembea na sime siyo utamaduni, ila ni kutangaza hali ya vita. Mwenyeji huwa halazimishwi kufuata ya mgeni.
Hata wenyewe Wamasai wameacha utamaduni wao wa ushujaa na kuwa hata wakisuka nywele wanawake, ni kwa sababu ya kuwa ugenini.
Huo utamaduni wa kutembea na sime ufanyike katika mazingira yao asili kama ilivyo kwa wengine. Na mijini zifanywe zinazokubaliana na mazingira.
Hii siyo kwa ubaya, ila kuimarisha ushirikiano wa kabila na tamaduni nyingi katika eneo moja.
Ova
B… wewe tokea unazaliwa si umekuwa unawaona Wamasai na sime zao? Huo mwanya wa hilo kosa ni upi ambalo halijawahi kufanyika miaka yote hii?