Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
B… wewe tokea unazaliwa si umekuwa unawaona Wamasai na sime zao? Huo mwanya wa hilo kosa ni upi ambalo halijawahi kufanyika miaka yote hii?Kitu kimefabywa hapo ni kudhibiti mwanya wa kufanyika hilo kosa. Kwa kuwa madhara yake ni makubwa.
Huwezi kukaa kusubiri mtu augue ili umtibie wakati una uwezo wa kuzuia asiugue kabisa. Sime zibaki nyumbani.
Ova
Ni lini umewahi kuona Masai anatoa sime yake kujeruhi watu kiholela? Kama ndivyo, kwanini watu wanaruhusiwa kutembea na deadly weapons ambazo mtu huombi maji?Kama hoja ni kuziba mwaya wa kosa kufanyika.
Kwani awamu hii Masai tumewakosea nini? Tamaduni zetu zinavurugwa kila upande. Tumehamishwa kwenye makazi yetu ya asili, na sasa tunavamiwa kwenye utamaduni wetu wa asili maungoni.
Na hii trend haitoishia hapo, hata mavazi nayo yatapigwa marufuku at this rate! It’s a high time huu uonevu ukome, kama na sisi ni wakimbizi mseme pia.