Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

Rais Mwinyi: Tukatae uzushi kuwa Mtu akipata chanjo ya corona atakufa

Kusema chanjo hizo ni hiari kuzikubali au kuzikataa ni ulagai mtupu.

Kitakacho tokea baada ya chanjo hizo kuingia nchini ni vikwazo vingi katika taasisi za kijamii na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma hususani Bank, Hospital, Usafiri nk.

Kwamba ili uweze kuingia katika sehemu hizo na kuhudumiwa ni lazima uwe tayari umeshachanjwa! Kwa vyovyote wote mtachanjwa tu, uwe unataka au hutaki!
 
"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"

Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.

Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.

View attachment 1802084
Ni kweli wapo waliokufa baada ya kuchanjwa lakini kiuchunguzi imebainika vifo vyao vinatokana na changamoto za kiafya ambazo zimeshindwa kuendana na chanjo, pia imebainika kwamba matatizo yanayo jitokeza (kwa baadhi ya watu) baada ya kuchanjwa yanatibika endapo mtu atatoa taarifa haraka. Kwa sababu hiyo sasa hivi kuna utaratibu wa kujaza fomu ili kujibu baadhi ya maswali kuhusu afya ya mtu kabla ya kuchanjwa. Na baada ya kuchanjwa unapewa list ya madhara ambayo yanaweza kujitokeza na hatua za kuchukua endapo yatatokea yale yaliyo orodheshwa.
Lakini tukiangalia madhara katika mambo ya tiba/chanjo ni mengi kuliko tunavyo amini. Kwa mfano zipo dawa nyingi ambazo ni sumu mbaya mwilini, unapo zitumia unachanganya na nyingine ama baada ya dozi huska ili kulinda/kutoa sumu inayo haribu figo, maini na viungo vyengine.
Suala la hiyari kwa chanjo ya korona halipo, labda tu kama utaamua kuishi kijijini kwenu bila kutoka nje.
Na hii imethibitika hata kwa chanjo ya Yellow fever, ni hiyari lakini husipokuwa na uthibitisho kuwa umechanjwa kuna nchi huwezi ingia.
 
Yellow fever ni chanjo ya hiari. Ila ukitaka kwenda baadhi ya nchi mfano South Africa utalazimika kuchanja.

Vitu vingine huwa tunapozeana muda kwa ubishi tu usio na sababu.
Sio South tu. Hata wageni wanaoingia kwetu (including sisi wenyeji) huwa wanatakiwa kuzionyesha kabla hawajasogelea desk la maafisa wa immigration
 
"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"

Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.

Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.

View attachment 1802084
Aanze yeye kuchanja hadharani ili kututoa hofu.Achamje kweli isiwe zile za uongo
 
Hata ARV'S ni hiari lakini watu wanajipeleka wenyewe wakitingwa na sasa ni normal tu, wanakunywa hata hadharani ,chanjo ya corona ni hiari siku ukitingwa utajipeleka mwenyewe
 
Mwinyi Si tulikubaliana tulinde legacy aisee
Anatekeleza ndio maana kajitetea moja ya kabari aliyopigwa ni hijja saud arabia.

Ili kutopaka mavi zuria la magufuli, ndio maana mnaambiwa ni hiari, sio lazima.

Hapo kwenye hiyari, hapo hata nyinyi simbilisi hatutawaona huko[emoji1787][emoji1787].
 
Hata ARV'S ni hiari lakini watu wanajipeleka wenyewe wakitingwa na sasa ni normal tu, wanakunywa hata hadharani ,chanjo ya corona ni hiari siku ukitingwa utajipeleka mwenyewe
Sasa utachanjwa ukiwa unaumwa!!!
 
"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"

Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.

Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.

View attachment 1802084
Sawa, ninyi mmechanjwa? Je mmechanjwa kwa dawa illeile watakayopewa raia wote au mmechanjiwa dawa zingine?
 
Sasahivi kila mtu naona akili imerudi mahali yake
Akili ya kuvaa barakoa anapokuwepo Rais Samia tu ila nje ya hapo watu hawavai? sasa najiuliza kwani Samia ana corona nini ndio maana wakiwa nae wanajikinga?
 
Kusema chanjo hizo ni hiari kuzikubali au kuzikataa ni ulagai mtupu.

Kitakacho tokea baada ya chanjo hizo kuingia nchini ni vikwazo vingi katika taasisi za kijamii na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma hususani Bank, Hospital, Usafiri nk.

Kwamba ili uweze kuingia katika sehemu hizo na kuhudumiwa ni lazima uwe tayari umeshachanjwa! Kwa vyovyote wote mtachanjwa tu, uwe unataka au hutaki!
Ndio mie nashangaa watu wanavyong'ang'ania kusema hiari.
 
Hakuna MTU aluyesema MTU akipata chanjo ya Corona.basi utakufa.
 
Bado wanaamini hakuna corona na ndio maana hatuoni kuchukua tahadhari zozote ila wapo busy na kuleta chanjo.
Chanjo ni precautionary sio reactionary.... Kwa mawazo yako unataka chanjo itolewe wave ikishapiga??

Ebola ipo sahvi? Mbona chanjo zinagawiwa? Au kupigwa chanjo ya Ebola ina maana Ebola ipo tayari?
 
Chanjo ni precautionary sio reactionary.... Kwa mawazo yako unataka chanjo itolewe wave ikishapiga??

Ebola ipo sahvi? Mbona chanjo zinagawiwa? Au kupigwa chanjo ya Ebola ina maana Ebola ipo tayari?
Mijitu mingine mijinga sana mzee, huku niliko tuna zero cases za COVID, but tunapiga chanjo kwa speed ya 5G
 
Huu uzushi umeenea sana huko CCM kwenye kambi ya wajinga nchi hii.
 
Back
Top Bottom