Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Nyie watu wa vijijini mna uoga wa kipumbavu sana.kwanini mnapenda kujishtukia na kuishi kwa hofu na wasiwasi kama swala anaewindwa na simba porini? Relax ukilazimishwa kuchanjwa kafungue kesi mahakamani.Kusema chanjo hizo ni hiari kuzikubali au kuzikataa ni ulagai mtupu.
Kitakacho tokea baada ya chanjo hizo kuingia nchini ni vikwazo vingi katika taasisi za kijamii na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma hususani Bank, Hospital, Usafiri nk.
Kwamba ili uweze kuingia katika sehemu hizo na kuhudumiwa ni lazima uwe tayari umeshachanjwa! Kwa vyovyote wote mtachanjwa tu, uwe unataka au hutaki!