Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Linapokuja swala la msimamo wanasiasa wote wanafananaCCm oyeeeeeee, pumbavu kabisa! Hakuna watu hawana msimamo kama CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linapokuja swala la msimamo wanasiasa wote wanafananaCCm oyeeeeeee, pumbavu kabisa! Hakuna watu hawana msimamo kama CCM
Legacy ndio imekufa mazima,😂😂Taratibu mheshimiwa, unachafua legasi. Tuligundua watu waliochanjwa nje walituletea korona ya ajabu ajabu🤸🐒
Rais Mwinyi amekuwa muwazi kabisa. Kama mtu anataka kwenda hija lazima achanjwe kwani ni sharti la nchi ya Saud Arabia ambako hijja inapatikana. Kama hutaki chanjo huwezi kwenda huko baki nyumbani kwako na hautalazimishwa kuchanjwa. Pia ameonya wale wanaodanganya watu kuwa ukichanjwa utakufa kwani hizo ni habari za uzushi - kumbuka pia kuwa yeye ni Daktari aliyesomea utabibu wa binadamu na anajua anachoongea.Yellow fever ni chanjo ya hiari. Ila ukitaka kwenda baadhi ya nchi mfano South Africa utalazimika kuchanja.
Vitu vingine huwa tunapozeana muda kwa ubishi tu usio na sababu.
Ni somo muafaka kuwa nchi ni kubwa kuliko mtu mmoja mmoja. Kinachobaki baada ya kiongozi kufa ni maslahi mapana ya nchi na ni lazima maisha ya watu yaendelee.Maskini Mwendazake [emoji3][emoji3][emoji3]
Habari ya nyungu na maombi imebaki story?!
Umenena vyema ndugu Mkaruka. Mwisho wa siku wengi wetu tuishio mijini na hasa wale wanaosafiri kwenda nje ya nchi, yaani wafanya biashara, watumishi wa umma na wanafunzi, watalazimika kupata chanjo ya korona ili waweze kuendelea na shughuli zao za kila siku. Watakaosalia ni wale ambao watabaki kuwa nchini wakiwa hawana mpango wa kusafiri nje na hasa wale waishio huko vijijini. Haya mengine ni kulishana upepo tu!Yellow fever ni chanjo ya hiari. Ila ukitaka kwenda baadhi ya nchi mfano South Africa utalazimika kuchanja.
Vitu vingine huwa tunapozeana muda kwa ubishi tu usio na sababu.
Kwani kampeni ya Ukimwi kuwa watu wawe na mpenzi mmoja au kuvaa condom ndio inasaidia kama bado movie za ngono zinaruhusiwa mitandaoni??Hivi kweli hata wewe nae unafikiria barakoa ni kama hirizi ukiwa nayo tu kila kitu kinaenda sawa? kila mtu anaimba barakoa barakoa.
Hivi barakoa bila social distance ni nani huyo aliyeshaur hivyo? halafu hiyo kampeni yenyewe ndio hiyo ya kuvaa barakoa anapokuwepo rais tu ila nje ya hapo watu hawavai?
Kupunguza makali ya maambukizi ya corona mwanzoni tulifunga mashule,vyuo,kuzuia mikusanyiko ya kwenye sherehe na michezo, kwenye daladala ilikuwa level seat, ndoo za maji na sabuni zilitapakaa, kuna sehemu ulikuwa huingii bila kuvaa barakoa mfano kwenye hospitali maofisi n.k.Kwani kampeni ya Ukimwi kuwa watu wawe na mpenzi mmoja au kuvaa condom ndio inasaidia kama bado movie za ngono zinaruhusiwa mitandaoni??
Control maana yake ndio hiyo kwamba tatizo haulisolve 100% but unapunguza makali ya madhara yake. Mfano barakoa, kunawa mikono, social distance zote zipo kwenye muongozo wa wizara ulitolewa toka March sasa utekelezaji ni kitu kingine unless kama unataka watu washikiwe viboko ndio uone kweli serikali imeamua social distance na barakoa? Na ikifika huko mtakuja tena kulia lia hapa kwamba JPM hakuchapa watu fimbo kisa barakoa!!
WaTZ sijui tuna shida gani.... Msomi kma ww unapinga kuvaa barakoa? Yaani ni sawa na manesi wasivae gloves eti kisa tu miguu yao bado inaweza kanyaga tissues za mgonjwa!! Weird
Muongozo ulisema kuepuka misongamano, usafi/kunawa mikono, kuvaa barakoa n.k sasa ni lini wamehimiza barakoa peke yake?Kupunguza makali ya maambukizi ya corona mwanzoni tulifunga mashule,vyuo,kuzuia mikusanyiko ya kwenye sherehe na michezo, kwenye daladala ilikuwa level seat, ndoo za maji na sabuni zilitapakaa, kuna sehemu ulikuwa huingii bila kuvaa barakoa mfano kwenye hospitali maofisi n.k.
Je sasa hivi unaweza kuniambia nini tunachofanya kupunguza hayo maambukizi?
Ukizungumzia barakoa katika moja ya disadvantage ya barakoa kuvaliwa kwenye jamii ni watu kujihisi wako safe kwa kutozingatia vitu kama kunawa mikono, kutojishika uso na social distance. Sasa ukiangalia sisi hivyo vitu ndio mambo yanayoendelea halafu et tunahimizana na kutegemea kuvaa barakoa, hapo sijazungumzia watu kutojua matumizi sahihi ya jinsi ya kuvaa na kuvua hizo barakoa ambapo ukifanya makosa unawezakuwa unasababisha maambukizi.
Mkuu kamati ilikuwa kwa ajiri ya kuwaanda watu na uagizaji wa chanjo, hilo ndio linazingatiwa hayo mengine yote tutapiga kelele tu humu . Nadhani leo dodoma umeona hali ilivyokuwa maana hata hilo la barakoa ni dhahiri limewashinda sasa.Muongozo ulisema kuepuka misongamano, usafi/kunawa mikono, kuvaa barakoa n.k sasa ni lini wamehimiza barakoa peke yake?
Kwani nani kasema ukipigwa chanjo ndio huvai barakoa wala kunawa mikono? Mie siongelei kamati naongelea muongozo wa wizara wa afya kupitia press release waliorodhesha steps za kujikinga na COVID na walio exhaust njia zote na sio barakoa pekee.Mkuu kamati ilikuwa kwa ajiri ya kuwaanda watu na uagizaji wa chanjo, hilo ndio linazingatiwa hayo mengine yote tutapiga kelele tu humu . Nadhani leo dodoma umeona hali ilivyokuwa maana hata hilo la barakoa ni dhahiri limewashinda sasa.
Japo unanichanganyia mafile ila twende hivyo hivyo, sasa mkuu ikiwa matumizi yasio sahihi ya barakoa husababisha kuchangia maambukizi sasa wewe utasemaje uvaaji huo wa barakoa usio sahihi unapunguza maambukizi? Ikiwa kweli kuna maambukizi kwa hiyo inahitajika kuvaa barakoa ila sasa uvaaji wetu wa barakoa sio sahihi na matokeo yake ni kusababisha kuongeza maambukizi kwa maana watu hawazingatii kunawa mikono wakati wa kuvaa na kuvua hizo barakoa, mtu anaweza akaivua barakoa mara moja na kuishika mkononi kisha baadaye akaivaa tena. Hivi kwa hali hiyo barakoa zinaweza kuwa msaada au ni sehemu ya tatizo?Kwani nani kasema ukipigwa chanjo ndio huvai barakoa wala kunawa mikono? Mie siongelei kamati naongelea muongozo wa wizara wa afya kupitia press release waliorodhesha steps za kujikinga na COVID na walio exhaust njia zote na sio barakoa pekee.
Yaani ww unataka hta barakao watu wasivar eti kisa hawanawi mikono? Hvi hujui with each step taken unareduce probability ya kusambaza ugonjwa kuliko usifanye chochote kabisa
Kwa kuwa uvaaji condom una changamoto na zingine kupasuka then tuache kabisa kujikinga na UKIMWI na ikiwezekana zipigwe marufuku maana hazisaidii???Japo unanichanganyia mafile ila twende hivyo hivyo, sasa mkuu ikiwa matumizi yasio sahihi ya barakoa husababisha kuchangia maambukizi sasa wewe utasemaje uvaaji huo wa barakoa usio sahihi unapunguza maambukizi? Ikiwa kweli kuna maambukizi kwa hiyo inahitajika kuvaa barakoa ila sasa uvaaji wetu wa barakoa sio sahihi na matokeo yake ni kusababisha kuongeza maambukizi kwa maana watu hawazingatii kunawa mikono wakati wa kuvaa na kuvua hizo barakoa, mtu anaweza akaivua barakoa mara moja na kuishika mkononi kisha baadaye akaivaa tena. Hivi kwa hali hiyo barakoa zinaweza kuwa msaada au ni sehemu ya tatizo?
Ndio Unijibu sasa katika hali ya uhalisia ni namna gani barakoa zinaweza kusaidia hivyo hivyo pamoja na hayo matumizi yasio sahihi ambayo huweza kupelekea kuwa chanzo cha kusambaza virusi badala ya kuzuia? hebu elezea vp barakoa bado itaendelea kuwa msaada katika mazingira kama hayo?Kwa kuwa uvaaji condom una changamoto na zingine kupasuka then tuache kabisa kujikinga na UKIMWI na ikiwezekana zipigwe marufuku maana hazisaidii???
Let me summarize this.... An inch towards the right direction is better than a mile towards a wrong destination.