Ni kweli wapo waliokufa baada ya kuchanjwa lakini kiuchunguzi imebainika vifo vyao vinatokana na changamoto za kiafya ambazo zimeshindwa kuendana na chanjo, pia imebainika kwamba matatizo yanayo jitokeza (kwa baadhi ya watu) baada ya kuchanjwa yanatibika endapo mtu atatoa taarifa haraka. Kwa sababu hiyo sasa hivi kuna utaratibu wa kujaza fomu ili kujibu baadhi ya maswali kuhusu afya ya mtu kabla ya kuchanjwa. Na baada ya kuchanjwa unapewa list ya madhara ambayo yanaweza kujitokeza na hatua za kuchukua endapo yatatokea yale yaliyo orodheshwa."Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"
Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.
Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.
View attachment 1802084
Sio South tu. Hata wageni wanaoingia kwetu (including sisi wenyeji) huwa wanatakiwa kuzionyesha kabla hawajasogelea desk la maafisa wa immigrationYellow fever ni chanjo ya hiari. Ila ukitaka kwenda baadhi ya nchi mfano South Africa utalazimika kuchanja.
Vitu vingine huwa tunapozeana muda kwa ubishi tu usio na sababu.
Aanze yeye kuchanja hadharani ili kututoa hofu.Achamje kweli isiwe zile za uongo"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"
Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.
Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.
View attachment 1802084
Anatekeleza ndio maana kajitetea moja ya kabari aliyopigwa ni hijja saud arabia.Mwinyi Si tulikubaliana tulinde legacy aisee
Sasa utachanjwa ukiwa unaumwa!!!Hata ARV'S ni hiari lakini watu wanajipeleka wenyewe wakitingwa na sasa ni normal tu, wanakunywa hata hadharani ,chanjo ya corona ni hiari siku ukitingwa utajipeleka mwenyewe
Sawa, ninyi mmechanjwa? Je mmechanjwa kwa dawa illeile watakayopewa raia wote au mmechanjiwa dawa zingine?"Chanjo ya ugonjwa wa Corona ni hiari, hatolazimishwa mtu kuchanja chanjo hiyo. Tukatae uzushi kuwa mtu akichanjwa atakufa, sio kweli"
Ndugu @DrHmwinyi
Rais wa Zanzibar na M/kiti wa BLM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya H/Kuu ya Taifa.
Mahonda, Kaskazini Unguja.
Mei 29, 2021.
View attachment 1802084
Akili ya kuvaa barakoa anapokuwepo Rais Samia tu ila nje ya hapo watu hawavai? sasa najiuliza kwani Samia ana corona nini ndio maana wakiwa nae wanajikinga?Sasahivi kila mtu naona akili imerudi mahali yake
Ndio mie nashangaa watu wanavyong'ang'ania kusema hiari.Kusema chanjo hizo ni hiari kuzikubali au kuzikataa ni ulagai mtupu.
Kitakacho tokea baada ya chanjo hizo kuingia nchini ni vikwazo vingi katika taasisi za kijamii na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma hususani Bank, Hospital, Usafiri nk.
Kwamba ili uweze kuingia katika sehemu hizo na kuhudumiwa ni lazima uwe tayari umeshachanjwa! Kwa vyovyote wote mtachanjwa tu, uwe unataka au hutaki!
Nyungu ya nini na corona hakuna au umeona mabadiliko gani ya kuzuia maambukizi yaliyofanywa?Maskini Mwendazake [emoji3][emoji3][emoji3]
Habari ya nyungu na maombi imebaki story?!
Hakuna MTU aluyesema MTU akipata chanjo ya Corona.basi utakufa.
Chanjo ni precautionary sio reactionary.... Kwa mawazo yako unataka chanjo itolewe wave ikishapiga??Bado wanaamini hakuna corona na ndio maana hatuoni kuchukua tahadhari zozote ila wapo busy na kuleta chanjo.
Mijitu mingine mijinga sana mzee, huku niliko tuna zero cases za COVID, but tunapiga chanjo kwa speed ya 5GChanjo ni precautionary sio reactionary.... Kwa mawazo yako unataka chanjo itolewe wave ikishapiga??
Ebola ipo sahvi? Mbona chanjo zinagawiwa? Au kupigwa chanjo ya Ebola ina maana Ebola ipo tayari?
Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza!You are cheating yourself. It is indirectly compulsory for those travelling outside TZ. Ni sawa kwa wewe unayeona TZ ndiyo dunia. Endelea kukoleza kasumba.
Mbona hujasema pia kuna wengi wamechanjwa na hawajapoteza maisha? Hivi kila anaekufa hapa duniani chanzo ni chanjo ?Kuna watu wamepoteza maisha baada ya kuchanjwa huo ndio ukweli.
Mengine tunawaachia.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Endeleeni kubadili gia.tutafikia lengo zuri. Much Thanks to President of Zanzibar for acknowledging the truth.Hakuna MTU aluyesema MTU akipata chanjo ya Corona.basi utakufa.