Nyie watu wa vijijini mna uoga wa kipumbavu sana.kwanini mnapenda kujishtukia na kuishi kwa hofu na wasiwasi kama swala anaewindwa na simba porini? Relax ukilazimishwa kuchanjwa kafungue kesi mahakamani.Kusema chanjo hizo ni hiari kuzikubali au kuzikataa ni ulagai mtupu.
Kitakacho tokea baada ya chanjo hizo kuingia nchini ni vikwazo vingi katika taasisi za kijamii na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma hususani Bank, Hospital, Usafiri nk.
Kwamba ili uweze kuingia katika sehemu hizo na kuhudumiwa ni lazima uwe tayari umeshachanjwa! Kwa vyovyote wote mtachanjwa tu, uwe unataka au hutaki!
Kwahiyo wewe unaangalia nani kachanjwa ndio uamue ukachanjwe au laa? Hoi nchi kuna watu mizigo mpo wengi sana.Sawa, ninyi mmechanjwa? Je mmechanjwa kwa dawa illeile watakayopewa raia wote au mmechanjiwa dawa zingine?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]South Africa mbona mbali sana, jaribu South Sudan, hata huko mbali, jaribu hapo Kenya tuYellow fever ni chanjo ya hiari. Ila ukitaka kwenda baadhi ya nchi mfano South Africa utalazimika kuchanja.
Vitu vingine huwa tunapozeana muda kwa ubishi tu usio na sababu.
Nikuulize swali sasa hivi corona ipo au haipo? nakuuliza hivyo ili nipate kuelewa huku kutochukua tahadhari kuna maana gani kwa sasa na huko kutaka chanjo kuna maana gani.Chanjo ni precautionary sio reactionary.... Kwa mawazo yako unataka chanjo itolewe wave ikishapiga??
Ebola ipo sahvi? Mbona chanjo zinagawiwa? Au kupigwa chanjo ya Ebola ina maana Ebola ipo tayari?
JanjarukaKwahiyo wewe unaangalia nani kachanjwa ndio uamue ukachanjwe au laa? Hoi nchi kuna watu mizigo mpo wengi sana.
Msio mizigo mmetengeneza dawa gani?Hoi nchi kuna watu mizigo mpo wengi sana.
Huo sio ujanja ni ujinga.unakataa chanjo wakati hapohapo umechanjwa na chanjo kibao za mabeberu na una sauti ya kuongea hapa. Pumbavu sanaJanjaruka
Usinipigie kelele endelea kujifukiza. Pumbavu.Msio mizigo mmetengeneza dawa gani?
Epuka kurukia vitu.Mbona hujasema pia kuna wengi wamechanjwa na hawajapoteza maisha? Hivi kila anaekufa hapa duniani chanzo ni chanjo ?
Wenye serikali yao wanasema takwimu ni siri ya serikali, na kutochukua vipimo sio kwamba corona haipo.Nikuulize swali sasa hivi corona ipo au haipo? nakuuliza hivyo ili nipate kuelewa huku kutochukua tahadhari kuna maana gani kwa sasa na huko kutaka chanjo kuna maana gani.
Endeleeni kubadili gia.tutafikia lengo zuri. Much Thanks to President of Zanzibar for acknowledging the truth.
Hatuna takwimu kwa TZ inakua ngumu kujua ukubwa wa tatizo au kma wave imerudi au imeondoka but alichosema mama samia ni kwamba chanjo ni precaution endapo itakuja 3rd wave ambayo imetabiriwa kisayansi na hiyo kamati ya Covid 19!!Nikuulize swali sasa hivi corona ipo au haipo? nakuuliza hivyo ili nipate kuelewa huku kutochukua tahadhari kuna maana gani kwa sasa na huko kutaka chanjo kuna maana gani.
Kanye ulale yaelekeza umevimbiwaHuo sio ujanja ni ujinga.unakataa chanjo wakati hapohapo umechanjwa na chanjo kibao za mabeberu na una sauti ya kuongea hapa. Pumbavu sana
Pumbavu mwenyeweUsinipigie kelele endelea kujifukiza. Pumbavu.
Nimekuuliza Tz kutokuchukua tahadhari dhidi ya corona kuna maana gani?Hatuna takwimu kwa TZ inakua ngumu kujua ukubwa wa tatizo au kma wave imerudi au imeondoka but alichosema mama samia ni kwamba chanjo ni precaution endapo itakuja 3rd wave ambayo imetabiriwa kisayansi na hiyo kamati ya Covid 19!!
Chanjo sio lazima ugonjwa uwepo au uwe mkubwa ndio utumie.... Ila ni kujiandaa tu na lolote. Mfano Pemba ukimwi ni below 1% lakini haimaanishi huwezi nunua condom pharmacy eti kisa ukimwi haupo!!! Ni mawazo ya kijima sana
Sasa Tz kutokuchukua tahadhari dhidi ya corona ina maana gani au lina tafsirika vp jambo hili?Wenye serikali yao wanasema takwimu ni siri ya serikali, na kutochukua vipimo sio kwamba corona haipo.