Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Zanzibar (visiwa vya marashi ya karafuu) inajitangaza yenyewe haihitaji mtu kuitangaza. Zanzibar sio geita au katavi iliyozaliwa juzi.Mama ana malengo ya kuitangaza Zanzibar zaid
Rais Samia hili litakuharibia sana MamaUkifikiria kwa mapana kuna sehemu Mama amekwama, au mahaba yamezidi upande wa nyumbani
Ni wivu, husda, chuki, vijicho na roho mbaya ndio vinasumbua watu.Acheni Wivu
Ni Zamu Wa Zenj.
Mbona Mwendazake alikuwa anamtuma Bashite
kwaani Mwinyi anatumwa kuuwakilisha mkoa...?Paul Makonda alikuwa anatumwa na Hayati Rais Dkt. Magufuli ' Kumuwakilisha ' katika Safari zake za Kimataifa ili Kuiwakilisha nchi pia? Kuna Watu huwa mnanilazimisha niwe nawadharau kwa Upumbavu wenu wa Kurithishwa.
Ebhana VP hili analilaumu ile mbaya tu.Hao wote ni waoga kwa sababu wanajijua siyo chaguo la mama
Mwambieni Uzanzibari utamgharimu tu.Tunachokisema ni Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
Afya yake huyo VP mhhh hatariEbhana VP hili analilaumu ile mbaya tu.
Mama 'anakulipa' nini 'Kumpigania' hivi?Zanzibar (visiwa vya marashi ya karafuu) inajitangaza yenyewe haihitaji mtu kuitangaza. Zanzibar sio geita au katavi iliyozaliwa juzi.
Zanzibar ina historia kubwa sana ambayo Tanganyika haiwezi ifikia.
Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.
VP na PM wakiwa 'Chemba' wanalaumu.Huyu maza kazi tunayo 🤔,
Kazi inaendelea Ila miaka kadhaa tutalia nakusaga meno.
Sasa tunaanza kuelewana....hizi overt actions zinadhihirisha hili....Rais Mwinyi ndiye Rais Mtarajiwa wa JMT mwaka 2025 kimsingi mama anakamilisha tu kipindi cha mpito kuja kumkabidhi kijiti mwinyi 2025 hili litasimamiwa kwa ukaribu sana na vyombo vya dola kuhakikisha the chosen anakuwa Rais wa JMT hili liko wazi
Na Mama anafanya kazi kwa akili kubwa sana.Katiba ya nchi haimzuii kumtuma RAIS WA ZANZIBAR kumuwakilisha nje......
Jadili Kihoja na siyo Kishabiki unatuboa.Ni wivu, husda, chuki, vijicho na roho mbaya ndio vinasumbua watu.
Mama tangu ameingia madarakani neema mbali mbali zimepatikana. Huko Arusha St. Jude nimeambiwa watoto wanaenda kurudi shule na mambo yanakwenda vyema tu.
Kuuwakilisha Ubongo wako huo mbovu.kwaani Mwinyi anatumwa kuuwakilisha mkoa...?
Lazima walaumu hapo, kuna kitu hakiko sawaVP na PM wakiwa 'Chemba' wanalaumu.
Ukae hapo ulipo ukijua Rais wa JMT ni taasisi.Uyu mama a ataka kuleta u shost hapa.VC wa URT ana kazi gani
Jana Kazindua Panya na Mende tu SUA.Afya yake huyo VP mhhh hatari
Usimpangie mama cha kufanya.Hapo maza anaharibu wasijisahaulishe wao wako milioni moja na nusu tu, wanapotaka fursa sawa wajue wengi ndio tunaoamua hatma ya Muungano feki unaowanufaisha Zanzibar kuliko Tanganyika Mbona magufuli alimwagiza sana Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kuliko mwingine yoyote,
👍Na Mama anafanya kazi kwa akili kubwa sana.
Ukiwa babala huwezi muelewa mama kamwe.
Watanzania, tuwaacheni wapiga domo waendelee kupiga domo mitandaoni. Sisi tumuunge mkono Mama na kazi iendelee