Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hapo juu pitia pitia comment utajiona uliponipingaHivi ni wapi nimesema umepuyanga, au unatafuta tu la kuongea, nioneshe hapo niliposema!
Sasa nini kimekushinda wewe kwenda kuvisoma hivyo vifungu huko kwenye Katiba? Mbona mnapenda kuchosha wenzenu aisee!1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo (toleo), usijibu kama upo vilingeni.
Soma katiba ibara ya 37(3) nakuwekekea hapa[emoji116][emoji116]Hapana, ikiwa Rais na Makamu hawapo nchi itaongozwa na spika wa bunge na kama HAYUPO nchi itaongozwa na judge mkuu.,... Waziri mkuu hajatajwa kwenye katiba...hiyo nilisomaga zamani kwenye SoMo la siasa darasa la nne ama la tatu
Duh! Hao akina Shositi (Cyst) Nyahoza na akina Mtungi, wao wamepiga usingizi wa pono. Wataamka kukemea au kupiga vita mikutano ya Chadema. Na kuratibu ushindi wa CCM.Ni kweli mbaya zaidi baadhi ya Taasisi za umma zimeweka kwenye tovuti zao Katiba toleo la 1995 badala ya latest edition ya 2010.
Mfano wa Taasisi zilizoweka katiba toleo la zamani.
1. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Baadhi ya Tovuti hazina kabisa katiba kwenye machapisho yake.
Kwa uzembe huu na kutokujali, maendeleo tutaendelea kuyasikilizia Kwa wenzetu walio serious sisi tuendeleze uchawa, ukunguni na uviluwiluwi wa chura kiziwi.Taasisi zetu nyingi ni haziweki taarifa sahihi kwenye Tovuti zake.
Baadhi ya Taasisi taarifa latest ni za miaka mitatu iliyopita.
Hilo ni toleo la zamani la mwaka 2000. Soma marekebisho yalifanyika mwa 2005. Soma toleo la 2005, 2010. Ibara hiyo hiyo ya 37 kifungu Cha tatu, waliotajwa ni:Yeah nimeipata article no 37
Ibara ya 37(3) inasema hiviWatu wengi humu vilaza. Mfuatano ni huu
1. RAIS
2. MAKAMU
3. SPIKA
4. JAJI MKUU
NB
Waziri mkuu hayupo kwenye orodha kwa mujibu wa katiba
Wewe ndiyo kilazaWatu wengi humu vilaza. Mfuatano ni huu
1. RAIS
2. MAKAMU
3. SPIKA
4. JAJI MKUU
NB
Waziri mkuu hayupo kwenye orodha kwa mujibu wa katiba
Ahsante mkuu kwa taarifa. Haya mabadiliko yalifanyika lini?Wewe ndiyo kilazaView attachment 3073238
NotedIbara ya 37(3) inasema hivi
View attachment 3073236
Ndugu unatupiga fix....weka kifungu cha katiba chenye uthibitisho...Kasome halafu uwe unasoma comments mpaka Mwisho ndio unaniquote ntakugosha makwenzi tumbavu
😂😂Ooops.!! Naomba kesi yako moja nikusimamie
Ni nan huyu? 😜Muache wakili wangu 😂
Weka kifungu cha katiba acha blah blahHapo kwa Jaji Mkuu umekula bonge la Mkasi anafuata Naibu Spika akiwa hayupo maana yake Nchi haipo Salama Mkuu wa Majeshi anachukua Nchi
Na wasipokuwepo wote nikabaki mwenyewe 🤣 kumbe kila mtu anaweza kuwa RaisWaziri Mkuu
Asipokuepo yeye pia Naibu wake asipokuepo na yeye anaebakia kusimamia ni Spika wa Bunge akiwa hayupo na yeye Naibu wake akiwa hayupo na yeye Mkuu wa Majeshi ndio anachukua nafasi km yeye hayupo pia anachukua anaemfuatia mwenye nyota 3 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 2 km na yeye hayupo anachukua anaemfuatia mwenye nyota 1
Uliza swali lingine
Uzi ufungwe hapa.Spika kikatiba
WM kimajukumu
Lucas Mwashambwa 🤣1. Naomba kujuzwa utaratibu wa kikatiba unasemaje endapo Rais na Makamu wa Rais wanapokua nje ya nchi Kwa wakati mmoja. Ni Nani Anakaimu nafasi ya Rais Kwa Katiba ya Sasa?
3. Jibu Kwa kutaja kifungu cha Katiba iliyopo (toleo), usijibu kama upo vilingeni.