Rais na Taasisi saidizi zirudi Dar es Salaam, Makamu wa Rais abaki Dodoma

Endelea kutukana hadi mbege itakapokuisha kichwani!
Jenga hoja usilete mambo ya kilevi..Nawaambia msiwachukulie poa Watanzania wa leo..mawazo ya Magufuli na mama yetu Samia wakati ule hamuwez kuyadharau kiasi hicho..shwainnny
 
Kichaa ni wewe. Modern World siku hizi watu hawanga'ng'anii kukaa katika mji mmoja kama kupe. Lazima shughuli nyingine zihamie miji mingine ili kutanua na kuiendeleza miji.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Mkuu nakubaliana nawe. Ilitakiwa hii mihimili yetu mitatu (3) kila mmoja uwe kwenye jiji lake, say Dodoma - Bunge, maana lenyewe lilitangulia Dodoma. Dar Es Salaam- Serikali, maana miundombinu yote ipo Dar. Arusha - Mahakama, maana kwa kiasi kikubwa miundombinu yake ipo Arusha.
 
Jenga hoja usilete mambo ya kilevi..Nawaambia msiwachukulie poa Watanzania wa leo..mawazo ya Magufuli na mama yetu Samia wakati ule hamuwez kuyadharau kiasi hicho..shwainnny
Kila zama na kitabu chake

Hii ni awamu ya 6!
 
Kila zama na kitabu chake

Hii ni awamu ya 6!
Rais wetu ameshasema yeye na mwendazake ni kitu hiki...KIMOJA..sasa we bwabwaja ndio utajua Watanzania halisi wakoje...au unadhan awamu ya sita haijishughulishi na wananchi
 
Saa nyingine watu wenye majina ya Yohana siwaamini sana, ni watata na wakorofi tu unreasonably
 
rukeni na huyo mnayeruka naye, ila mjue dom ndio makao makuu na mtaenda tu
 
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Kazi Iendelee!
Ha ha ha ha iwe wee Jamaa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee
johnthebaptist dish limecheza tena amesahau kama alikuwaga anashadadia huu uhamiaji Dodoma! Tuko hapa tunampeleka Milembe
 
Kurudi Dsm ni gharama zaidi kuliko kubaki Dom. Jambo la msingi baadhi ya Taasisi ambazo hazijahamia Dom zibaki Dsm kwanza. Lakini pia treni ya kasi iharakishwe ili kuwezesha kufanyakazi kwa ofisi za Dsm na Dom. Hata hivyo, kuna baadhi ya Idara za Wizara zapaswa kubaki Dsm. Mfano baadhi ya Idara za Wizara ya viwanda na biashara zinapaswa kufanya kazi Dsm zaidi.
 
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Kazi Iendelee!
Mnajitokeza taratibu wapinga maendeleo. Nchi zimeamua karibuni kuhamisha miji mikuu kama nigeria brazil malawi na kuhama kwenye miaka haizidi kumi sisi tumechukua miaka 50. Yote hayo kwa uzembe na ufisadi wa kujinga.
 
Maendeleo yako Dodoma?
 
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Kazi Iendelee!
Hiyo itaongeza misafara na foleni, wabaki huko huko
 
Back
Top Bottom