johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #121
Hahahaaaa...... Sisi tulibakia hapa hapa Ufipa bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa...... Sisi tulibakia hapa hapa Ufipa bwashee!
Alisema amefunga njia zote za wajanja kutaka kurudi Bandari salama kwa kutumia sheria stahiki!! au hili hukulisikia?Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!
Eti kuhamia Dododma ndio kumesababisha msiba utokee kwa kiongozi mkuu wa nchi?Yanayojitokeza baada ya serikali kuhamia Dodoma yamedhihirisha huu siyo wakati muafaka.
Dodoma pametupa majonzi ujue!
0 BrainHuyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
MkuuHivi kwanini watu hawakubali tu hali halisi kuwa makao makuu yameshahama rasmi tuendelee na maisha tu Dar ni jiji la kibishara na litabaki kuwa hivyo Tanzania sio nchi ya kwanza kufanya hili nchi nyingi duniani kuwa na jiji kubwa hailipi status ya kuwa makao makuu na kuna ujenzi mkubwa umefanywa na unaendelea Dodoma state house yote yataisha. kuna watu wanasema bahari basi kama bahari kigezo twendeni pemba kabisa maana tumezungukwa na bahari. Dodoma ni capital city na Dar ni commercial city na JPM alishawahi kusema imetoka hiyo na ni sera ya CCM.
Sheria siyo msahafu bwashee!Alisema amefunga njia zote za wajanja kutaka kurudi Bandari salama kwa kutumia sheria stahiki!! au hili hukulisikia?
Hata Kenya zamani makao yake makuu ya nchi yalikuwa Mombasa, lakini kimkakati yakahamishiwa Nairobi na sasa wanatesa kama Ulaya.Kichaa ni wewe. Modern World siku hizi watu hawanga'ng'anii kukaa katika mji mmoja kama kupe. Lazima shughuli nyingine zihamie miji mingine ili kutanua na kuiendeleza miji.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Bila maandalizi tangu mwaka 1973?Kuhamia Dodoma bila maandalizi tumehamishia matatizo Dodoma.
Lakini hata majengo ya mwananchi /family mmoja tumeshtukia yameisha chukuwa maeneo makubwa ya ardhi na kupanua mji kama balloon.Kwa lugha nyingine tunatumia eneo kubwa kwa shughuli ya eneo dogo.
Nilitegemea wangezingatia umakini wa ujenzi wa nyumba ,barabara ,sanitary systems, maji,umeme,ustawishaji wa miti na bustani.
Pia drainage system ni za shida sana wakati masika.
Lakini ukame nao ni shida,kukosa miti mikubwa na mirefu katika maeneo mengi ni changamoto kubwa.
Kama serikali imeshindwa kupanda miti au kuhamasisha watu wa Dodoma na vitongojo vyake wapande miti,tangaza tender la kimataifa upandiwe miti.
Kwa kifupi watu wa central Tanzania ikiwemo Dodoma shida yao kubwa ni ukame kuliko hayo mambo ya kuwajengea makao makuu ya nchi.
0 brain kAMA MAMA YAKO0 Brain
Mama yangu si zero brain ndio maana nilizaliwa sina zero brain. Mnachofanya ni chuksi binafsi kwa hayati Magufuli. Baba wa Taifa alisema Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma. Tukaanza hamishia serikali miaka hiyo kule. Tumeenda hapa katikati watu hawataki Hamia Dodoma. Hayati Magufuli amehamishia Serikali Dodoma ninyi mnataka Turudi DSM. Ikulu Inaboreshwa, na Muundo wa Ikulu ya Dar es Salaam utakuwepo Dodoma. Wabunge wote wa Chama Tawala na Vya Upinzani walipiga kelele kuwa serikali iwe Dodoma. Ninyi na akili za Ndezi mnataka turudi Dar es Salaam. Yawezekana tuna watoto humu. Dodoma ni Makao Makuu ya Serikali ya Watanzania wote hata Siku Upinzani wakishika Nchi wanakuwa kule. Si issue ya Magufuli au nani. Ni nani aliyeturoga. Chuki binafsi hazijengi.0 brain kAMA MAMA YAKO
Umetanguliza ukali wa kitoto na labda hujachangia hata kuku kama harambee ya kuhamia Dodoma.Bila maandalizi tangu mwaka 1973?
Acha uzembe wa kufikiri
'Operesheni' vijiji mwaka 1974 ilkuwa na maandalizi gani kwa mfano? Leo sina unajivunia kilifanywa kutengeza vijiji kwa kutumia 'TaskForce'?
Ninyi wazembe wa kupanua ubongo ndio mlilemaa na Mzizima
Usipoteze muda, DODOMA ndio makao makuu ya nchi kama hutaki mega Dar Es Salaam pekee iwe nchiUmetanguliza ukali wa kitoto na labda hujachangia hata kuku kama harambee ya kuhamia Dodoma.
Kwani from 1973 hadi leo walishamaliza kila kitu?
Unafikiri kufoka ndio kutaipaisha Dadoma kuwa Canberra ya Australia?
Je kwanini mhasisi Julius Nyerere alipiga about urn ,licha ya yeye kuwa ndio champion wa hiyo kuhamisha makao makuu kwenda Dodoma ,from 1975 hadi anangatuka uraisi alinywea baada ya kugundua mapungufu makubwa ya kuhamisha makao makuu.
Hata from 1985 hadi anafariki hakuligusia kabisa licha ya kuwa very active kwenye siasa za Tanzania na za mataifa?
Weka sababu za msingi zakuhamisha Capital to Dodoma.Je ni maslahi ya taifa au ni utumiaji mbovu wa pesa za umma ?
Kwa kulazimisha na sio kiuhalisiaUsipoteze muda, DODOMA ndio makao makuu ya nchi kama hutaki mega Dar Es Salaam pekee iwe nchi
Next time usimtukasne mtu, kama hujapenda post just skeep!Mama yangu si zero brain ndio maana nilizaliwa sina zero brain. Mnachofanya ni chuksi binafsi kwa hayati Magufuli. Baba wa Taifa alisema Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma. Tukaanza hamishia serikali miaka hiyo kule. Tumeenda hapa katikati watu hawataki Hamia Dodoma. Hayati Magufuli amehamishia Serikali Dodoma ninyi mnataka Turudi DSM. Ikulu Inaboreshwa, na Muundo wa Ikulu ya Dar es Salaam utakuwepo Dodoma. Wabunge wote wa Chama Tawala na Vya Upinzani walipiga kelele kuwa serikali iwe Dodoma. Ninyi na akili za Ndezi mnataka turudi Dar es Salaam. Yawezekana tuna watoto humu. Dodoma ni Makao Makuu ya Serikali ya Watanzania wote hata Siku Upinzani wakishika Nchi wanakuwa kule. Si issue ya Magufuli au nani. Ni nani aliyeturoga. Chuki binafsi hazijengi.
Mimi binafsi naangalia mawazo ya watu, ni chanya au ya Kubomoa. Siangalii limetoka kwa nani. Sasa nyie mnataka kubomoa kwa hulka zenu zisizo na kichwa wala Miguu.
Halafu kuna watu wachache wanasema Dodoma hakuna Miundombinu, Mmeona Ikulu Ilipo panavyojengwa na kupendeza. Ipo nje ya Mji wa Dodoma kabisa. Halafu hata kama hapapendezi, serikali ipambendezeshe ndio jukumu lake kama walivyoanza fanya Marais wastaafu wote. Japo Magufuli kafanya zaidi. Kongole kwa wabunge wa Upinzani na Chama Tawala waliopigania Serikali ihamie Dodoma.
Mwisho Mtu wa Kagera atoke Kagera aje Mpaka Dar es Salaam kupata huduma, mfano kama ana ishu na Rais wa Nchi. Si sawa.
Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nimekuelewa bwashee!Kwa kulazimisha na sio kiuhalisia
Matusi ni dalili za ushamba!Next time usimtukasne mtu, kama hujapenda post just skeep!
Nakupinga, Dodoma ni sehemu sahihi kabisa kwa mazingira ya nchi yetu. Huduma zote za serikali zinapaswa kuwa sehemu ambayo kila mwananchi ataweza kufika kwa haraka, Dodoma ni katikati ya nchi, ni rahisi kwa kila mwananchi kutoka pande zote za nchi kufika haraka na kurudi atokako.Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.
Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Kazi Iendelee!