Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ningependa kujua huo mwaka ambao motisha ilishuka, na napenda kujua pia lini motisha ilipanda. Karibu tujadiliMkulima ukishalima uza panapokupa faida ili mwakani ulime tena,kama kuna mtu anahitaji aje kununulia shambani kwa bei ya soko.
Kuna mwaka hapa wakulima motisha ya kulima kibiashara ilishuka, Vijana wengi sana waliamia kwenye bodaboda maana boda inalipa kuliko shamba.
Serikali ifunge mipaka iwapo kuna vita au njaa ya level 1.