pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Tanzania siku ina masaa 48!!!? Huyo ndiye kiongozi wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unaamini hiyo nafasi ya uraisi ilikua ya Lissu!?
Hiyo nafasi si ya yoyote ni ya JPM mpaka atakapotoka.Yoyote ila sio jiwe.
Kuna uwezekano kuwa kilichopo kwa sasa siyo Corona. Kipindi cha Corona shule zote na vyuo vyote tulifunga. Muda huu shule zote na vyuo vyote vimefunguliwa na hatujasikia hata mwanafunzi mmoja akipoteza maisha, na siombei hilo, kitu ambacho siyo rahisi kama kilichopo ingekuwa kweli ni Corona. Kuna liugonjwa fulani jingine limeibuka ambalo siyo Corona, na linatafuta watu hasa ambao wana mamlaka makubwa na wanaojulikana, ili ikitokea wamepoteza maisha, watanzania wote wasikie na pia wajue kwa sababu wengi wao wanajulikana almost na kila mtanzania. Ugonjwa uliopo kwa sasa inaonyesha kama siyo Corona. Hata hivyo tuendelee kuzingatia ushauri unaotolewa na Serikali pamoja na wataalamu wa Afya
Wapo lakini inabidi tumshukuru Mungu kwamba idadi yao ni wachache sana na inayofanana kabisa na ile ambayo huwa inakuwepo katika hali ya kawaida isiyokuwa na magonjwa ya mlipukoWatoto wengi wao ni carriers na huwa wanakuwa asymptomatic so hii sio good example. Labda tuangalie idadi ya kecturers na walimu ndio tunaweza jua
Only shithole countries citizen and ccm members can think like this dudeKwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu.
kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu.
Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali wamepotea na hawajui lolote ktk kupambana na corona. Kama mna mbinu zitajeni na mueleze wapi ambapo zimefanya kazi, mbona kwote wanapambana tu na hakuna aliyefika bado. Acheni dharau kwa serikali yenu ndugu zangu.
Umekaa tu kwenye keyboard unajiona unakila haki ya kuona serikali haiwezi, mengi mnayoshauri mnaiga tu kwa nchi nyingine zinavyohangaika wala hakuna mwenye jipya na mjue nayo serikali inaona huko wanavyofanya lakini haikurupuki tu kama wewe eti wakiona wale wamefanya hivi hapo hapo nasisi tuseme waTz fanyeni hivi. Acheni zenu.
Magufuli kama anajua chanjo na mabarakoa yanaondoa kabisa corona anaanzaje kuyazuia tena itamnufaisha nini yeye kukataa chanjo we jiulize usikurupuke tu kujidai unajali Watanzania kuliko rais na serikali.
Tumempa nafasi tumwache afanye anachokiamini ni kwaajili ya manufaa ya taifa ili akikosea au akipatia iwe lawama kwake au hongera kwake sio miluzi mingi kila mtu anataka rais afanye analotaka yeye hapo itakuwa nyie ndio rais sio yeye.
wote tunajua Mungu anaweza yote rais kasema tumuombe Mungu. Wewe tii kama huamini tumia hizo mbinu zako. Mimi na nyumba yangu tutamtegemea Mungu aliyetuvusha atatuvusha na rais na serikali yote tutakuwa salama kwa jina la Yesu. Amen.
hongera rais kwa kutuongoza njia sahihi, tupo tunaokuunga mkono na kutii mamlaka ya serikali.
Mungu akulinde Rais wetu Magufuli na serikali yako na atatuvusha salama wote tunaomwamini. Asiyeamini hata kama yupo serikalini atajua mwenyewe.
Utukufu kwa Mungu juu, na amani iwe duniani kwa wote aliowaridhia.
Amen
Mkuu nchi si ya rais Wala serikali nchi ni ya watanzania,lakini pia hao viongozi wako hawatikanwi Wala kusemwa wao Kama wao Ila kwa sababu ya nafasi walizonazo,pia kumbuka Hakuna aliyewalazimisha kuomba hizo nafasi,Sasa vile vile wanavyofurahia kula Kodi zetu ,hivyo hivyo wanapaswa kufurahi au kuvumilia reaction toka kwetu pale wanapofanya mambo tofauti na mitazamo yetu,otherwise waachie hizo nafasi Kisha waone Nani atawasema tenaKuna watu wana stress za maisha, asipotukuna serikali au kiongozi hawezi kulala. Unakuta mtu hata kodi ya elfu 15 ni tatizo anaishi kwa shemeji, utamuambia nini akuelewe? Uongozi ni mzigo kweli.
Hata aliyekabidhiwa watoto kuwavusha barabara lazima aangalie kulia na kushoto kuhakikisha kuwa hakuna magari kabla ya kuwavusha. Akianza kuwavusha bila kuangalia kulia na kushoto wakati kukiwa na magari lazima apigiwe kelelesio kwamba amekabidhiwa watoto wadogo awavushe barabara.
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu.
kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu.
Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali wamepotea na hawajui lolote ktk kupambana na corona. Kama mna mbinu zitajeni na mueleze wapi ambapo zimefanya kazi, mbona kwote wanapambana tu na hakuna aliyefika bado. Acheni dharau kwa serikali yenu ndugu zangu.
Umekaa tu kwenye keyboard unajiona unakila haki ya kuona serikali haiwezi, mengi mnayoshauri mnaiga tu kwa nchi nyingine zinavyohangaika wala hakuna mwenye jipya na mjue nayo serikali inaona huko wanavyofanya lakini haikurupuki tu kama wewe eti wakiona wale wamefanya hivi hapo hapo nasisi tuseme waTz fanyeni hivi. Acheni zenu.
Magufuli kama anajua chanjo na mabarakoa yanaondoa kabisa corona anaanzaje kuyazuia tena itamnufaisha nini yeye kukataa chanjo we jiulize usikurupuke tu kujidai unajali Watanzania kuliko rais na serikali.
Tumempa nafasi tumwache afanye anachokiamini ni kwaajili ya manufaa ya taifa ili akikosea au akipatia iwe lawama kwake au hongera kwake sio miluzi mingi kila mtu anataka rais afanye analotaka yeye hapo itakuwa nyie ndio rais sio yeye.
wote tunajua Mungu anaweza yote rais kasema tumuombe Mungu. Wewe tii kama huamini tumia hizo mbinu zako. Mimi na nyumba yangu tutamtegemea Mungu aliyetuvusha atatuvusha na rais na serikali yote tutakuwa salama kwa jina la Yesu. Amen.
hongera rais kwa kutuongoza njia sahihi, tupo tunaokuunga mkono na kutii mamlaka ya serikali.
Mungu akulinde Rais wetu Magufuli na serikali yako na atatuvusha salama wote tunaomwamini. Asiyeamini hata kama yupo serikalini atajua mwenyewe.
Utukufu kwa Mungu juu, na amani iwe duniani kwa wote aliowaridhia.
Amen
Mbona unakwepa swali,au hata Lissu humuamini!? Basi kumbe uraisi ulikua wa Mzee wa Ubwabwa Hashimu Rungwe tufanye ndiyo kadhulumiwa! Maana hata Takukuru walimpiga stop kugawa Ubwabwa kwenye Kampeni baada ya kuona anaanza kuwafunika CCM na CDM kwa kupata watu wengi kwenye Viwanja vya Kampeni Hahahaha!!Yoyote ila sio jiwe.
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu.
kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu.
Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali wamepotea na hawajui lolote ktk kupambana na corona. Kama mna mbinu zitajeni na mueleze wapi ambapo zimefanya kazi, mbona kwote wanapambana tu na hakuna aliyefika bado. Acheni dharau kwa serikali yenu ndugu zangu.
Umekaa tu kwenye keyboard unajiona unakila haki ya kuona serikali haiwezi, mengi mnayoshauri mnaiga tu kwa nchi nyingine zinavyohangaika wala hakuna mwenye jipya na mjue nayo serikali inaona huko wanavyofanya lakini haikurupuki tu kama wewe eti wakiona wale wamefanya hivi hapo hapo nasisi tuseme waTz fanyeni hivi. Acheni zenu.
Magufuli kama anajua chanjo na mabarakoa yanaondoa kabisa corona anaanzaje kuyazuia tena itamnufaisha nini yeye kukataa chanjo we jiulize usikurupuke tu kujidai unajali Watanzania kuliko rais na serikali.
Tumempa nafasi tumwache afanye anachokiamini ni kwaajili ya manufaa ya taifa ili akikosea au akipatia iwe lawama kwake au hongera kwake sio miluzi mingi kila mtu anataka rais afanye analotaka yeye hapo itakuwa nyie ndio rais sio yeye.
wote tunajua Mungu anaweza yote rais kasema tumuombe Mungu. Wewe tii kama huamini tumia hizo mbinu zako. Mimi na nyumba yangu tutamtegemea Mungu aliyetuvusha atatuvusha na rais na serikali yote tutakuwa salama kwa jina la Yesu. Amen.
hongera rais kwa kutuongoza njia sahihi, tupo tunaokuunga mkono na kutii mamlaka ya serikali.
Mungu akulinde Rais wetu Magufuli na serikali yako na atatuvusha salama wote tunaomwamini. Asiyeamini hata kama yupo serikalini atajua mwenyewe.
Utukufu kwa Mungu juu, na amani iwe duniani kwa wote aliowaridhia.
Amen
Contradiction tupu! Sasa wanaomlaumu wanafanya kosa gani?..................... akikosea au akipatia iwe lawama kwake au hongera kwake .................
Mbona unakwepa swali,au hata Lissu humuamini!? Basi kumbe uraisi ulikua wa Mzee wa Ubwabwa Hashimu Rungwe tufanye ndiyo kadhulumiwa! Maana hata Takukuru walimpiga stop kugawa Ubwabwa kwenye Kampeni baada ya kuona anaanza kuwafunika CCM na CDM kwa kupata watu wengi kwenye Viwanja vya Kampeni Hahahaha!!
Nawajua watanzania... Wenye njaa ndio wenye matusi, hiwezi kumkuta mtu mwenye pesa yake analaumu watu ovyo... Njaa kaka, njaa mbaya sana, amini usiaminiAcha ujinga wa kujifanya unajua maisha ya watu ambao huwajui aslan