Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi tumempa nafasi tumwache afanye kazi yake, kelele za nini?

Kelele zipi unaziongelea? Kama ni hizi za wanajamii forum hazijawahi kuwa na matokeo yoyote, ni kama hazipo. Labda kama kuna aina mpya za kelele.
 
Kuna uwezekano kuwa kilichopo kwa sasa siyo Corona. Kipindi cha Corona shule zote na vyuo vyote tulifunga. Muda huu shule zote na vyuo vyote vimefunguliwa na hatujasikia hata mwanafunzi mmoja akipoteza maisha, na siombei hilo, kitu ambacho siyo rahisi kama kilichopo ingekuwa kweli ni Corona. Kuna liugonjwa fulani jingine limeibuka ambalo siyo Corona, na linatafuta watu hasa ambao wana mamlaka makubwa na wanaojulikana, ili ikitokea wamepoteza maisha, watanzania wote wasikie na pia wajue kwa sababu wengi wao wanajulikana almost na kila mtanzania. Ugonjwa uliopo kwa sasa inaonyesha kama siyo Corona. Hata hivyo tuendelee kuzingatia ushauri unaotolewa na Serikali pamoja na wataalamu wa Afya

Watoto wengi wao ni carriers na huwa wanakuwa asymptomatic so hii sio good example. Labda tuangalie idadi ya kecturers na walimu ndio tunaweza jua
 
Wapo lakini inabidi tumshukuru Mungu kwamba idadi yao ni wachache sana na inayofanana kabisa na ile ambayo huwa inakuwepo katika hali ya kawaida isiyokuwa na magonjwa ya mlipuko
 
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu.

kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu.

Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali wamepotea na hawajui lolote ktk kupambana na corona. Kama mna mbinu zitajeni na mueleze wapi ambapo zimefanya kazi, mbona kwote wanapambana tu na hakuna aliyefika bado. Acheni dharau kwa serikali yenu ndugu zangu.

Umekaa tu kwenye keyboard unajiona unakila haki ya kuona serikali haiwezi, mengi mnayoshauri mnaiga tu kwa nchi nyingine zinavyohangaika wala hakuna mwenye jipya na mjue nayo serikali inaona huko wanavyofanya lakini haikurupuki tu kama wewe eti wakiona wale wamefanya hivi hapo hapo nasisi tuseme waTz fanyeni hivi. Acheni zenu.

Magufuli kama anajua chanjo na mabarakoa yanaondoa kabisa corona anaanzaje kuyazuia tena itamnufaisha nini yeye kukataa chanjo we jiulize usikurupuke tu kujidai unajali Watanzania kuliko rais na serikali.

Tumempa nafasi tumwache afanye anachokiamini ni kwaajili ya manufaa ya taifa ili akikosea au akipatia iwe lawama kwake au hongera kwake sio miluzi mingi kila mtu anataka rais afanye analotaka yeye hapo itakuwa nyie ndio rais sio yeye.

wote tunajua Mungu anaweza yote rais kasema tumuombe Mungu. Wewe tii kama huamini tumia hizo mbinu zako. Mimi na nyumba yangu tutamtegemea Mungu aliyetuvusha atatuvusha na rais na serikali yote tutakuwa salama kwa jina la Yesu. Amen.

hongera rais kwa kutuongoza njia sahihi, tupo tunaokuunga mkono na kutii mamlaka ya serikali.

Mungu akulinde Rais wetu Magufuli na serikali yako na atatuvusha salama wote tunaomwamini. Asiyeamini hata kama yupo serikalini atajua mwenyewe.

Utukufu kwa Mungu juu, na amani iwe duniani kwa wote aliowaridhia.

Amen
Only shithole countries citizen and ccm members can think like this dude
 
Kuna watu wana stress za maisha, asipotukuna serikali au kiongozi hawezi kulala. Unakuta mtu hata kodi ya elfu 15 ni tatizo anaishi kwa shemeji, utamuambia nini akuelewe? Uongozi ni mzigo kweli.
Mkuu nchi si ya rais Wala serikali nchi ni ya watanzania,lakini pia hao viongozi wako hawatikanwi Wala kusemwa wao Kama wao Ila kwa sababu ya nafasi walizonazo,pia kumbuka Hakuna aliyewalazimisha kuomba hizo nafasi,Sasa vile vile wanavyofurahia kula Kodi zetu ,hivyo hivyo wanapaswa kufurahi au kuvumilia reaction toka kwetu pale wanapofanya mambo tofauti na mitazamo yetu,otherwise waachie hizo nafasi Kisha waone Nani atawasema tena
 
Kwa ulimwengu wa sasa hili jambo ni gumu na hana budi kukubaliana nalo,
Rais ajae baada yake atakua na kibarua kigumu,
Kizazi cha sasa kinahoji na kinahitaji majibu sio kile cha ndio mzee

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
sio kwamba amekabidhiwa watoto wadogo awavushe barabara.
Hata aliyekabidhiwa watoto kuwavusha barabara lazima aangalie kulia na kushoto kuhakikisha kuwa hakuna magari kabla ya kuwavusha. Akianza kuwavusha bila kuangalia kulia na kushoto wakati kukiwa na magari lazima apigiwe kelele
 
Anatuambia tumtegemea Mungu atatuepusha na maradhi wakati yeye anatembea na mamia ya walinzi kwani Mungu huyo hamuamini yeye kumlinda
 
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu.

kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu.

Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali wamepotea na hawajui lolote ktk kupambana na corona. Kama mna mbinu zitajeni na mueleze wapi ambapo zimefanya kazi, mbona kwote wanapambana tu na hakuna aliyefika bado. Acheni dharau kwa serikali yenu ndugu zangu.

Umekaa tu kwenye keyboard unajiona unakila haki ya kuona serikali haiwezi, mengi mnayoshauri mnaiga tu kwa nchi nyingine zinavyohangaika wala hakuna mwenye jipya na mjue nayo serikali inaona huko wanavyofanya lakini haikurupuki tu kama wewe eti wakiona wale wamefanya hivi hapo hapo nasisi tuseme waTz fanyeni hivi. Acheni zenu.

Magufuli kama anajua chanjo na mabarakoa yanaondoa kabisa corona anaanzaje kuyazuia tena itamnufaisha nini yeye kukataa chanjo we jiulize usikurupuke tu kujidai unajali Watanzania kuliko rais na serikali.

Tumempa nafasi tumwache afanye anachokiamini ni kwaajili ya manufaa ya taifa ili akikosea au akipatia iwe lawama kwake au hongera kwake sio miluzi mingi kila mtu anataka rais afanye analotaka yeye hapo itakuwa nyie ndio rais sio yeye.

wote tunajua Mungu anaweza yote rais kasema tumuombe Mungu. Wewe tii kama huamini tumia hizo mbinu zako. Mimi na nyumba yangu tutamtegemea Mungu aliyetuvusha atatuvusha na rais na serikali yote tutakuwa salama kwa jina la Yesu. Amen.

hongera rais kwa kutuongoza njia sahihi, tupo tunaokuunga mkono na kutii mamlaka ya serikali.

Mungu akulinde Rais wetu Magufuli na serikali yako na atatuvusha salama wote tunaomwamini. Asiyeamini hata kama yupo serikalini atajua mwenyewe.

Utukufu kwa Mungu juu, na amani iwe duniani kwa wote aliowaridhia.

Amen

Hivi jamani moderator wa ukumbi huu kwa nini wanaruhusu utumbo kama huu kubaki hapa? Hiki kilichoandikwa hapa kinashangazwa na kinachotisha zaidi huenda muandishi amemaliza chuo kikuu lakini akili yake bado ni finyu mno. Yaani unataka kutwambia kuwa kwa kuwa tumemchagua Magufuli kuwa kiongozi wetu basi tusipige kelele pale anapotupeleka siko? Hivi hilo kweli linakuingia akilini? Yaani ikiwa uko safarini na rafiki zako, katu hutomkosoa rafiki yako anaendesha gari japo kuwa anakwenda direction sio ambayo mnataka kwenda kwa sababu tu mllikubaliana kuwa yeye ndie atakuwa dereva wa msafara wenu? Kwa watu kama wewe ama kweli Watanzania twendako ni kumoto mno!
 
Mkuu ukitumia haki yako kikatiba kutoa maoni utashambuliwa sana. Ila anyway tunaomkubali raisi na njia zake za kuongoza nchi tupo wengi kuliko wasomi wa mtandanoni wenye chuki na raisi. Hawa wenye chuki ndo walikuwa wezi ndo mana wanapinga kila kitu wakati walipaswa kuwa kitu kimoja kuunga mkono mamlaka.
 
Yoyote ila sio jiwe.
Mbona unakwepa swali,au hata Lissu humuamini!? Basi kumbe uraisi ulikua wa Mzee wa Ubwabwa Hashimu Rungwe tufanye ndiyo kadhulumiwa! Maana hata Takukuru walimpiga stop kugawa Ubwabwa kwenye Kampeni baada ya kuona anaanza kuwafunika CCM na CDM kwa kupata watu wengi kwenye Viwanja vya Kampeni Hahahaha!!
 
UPUUZI MTUPU!
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu.

kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu.

Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali wamepotea na hawajui lolote ktk kupambana na corona. Kama mna mbinu zitajeni na mueleze wapi ambapo zimefanya kazi, mbona kwote wanapambana tu na hakuna aliyefika bado. Acheni dharau kwa serikali yenu ndugu zangu.

Umekaa tu kwenye keyboard unajiona unakila haki ya kuona serikali haiwezi, mengi mnayoshauri mnaiga tu kwa nchi nyingine zinavyohangaika wala hakuna mwenye jipya na mjue nayo serikali inaona huko wanavyofanya lakini haikurupuki tu kama wewe eti wakiona wale wamefanya hivi hapo hapo nasisi tuseme waTz fanyeni hivi. Acheni zenu.

Magufuli kama anajua chanjo na mabarakoa yanaondoa kabisa corona anaanzaje kuyazuia tena itamnufaisha nini yeye kukataa chanjo we jiulize usikurupuke tu kujidai unajali Watanzania kuliko rais na serikali.

Tumempa nafasi tumwache afanye anachokiamini ni kwaajili ya manufaa ya taifa ili akikosea au akipatia iwe lawama kwake au hongera kwake sio miluzi mingi kila mtu anataka rais afanye analotaka yeye hapo itakuwa nyie ndio rais sio yeye.

wote tunajua Mungu anaweza yote rais kasema tumuombe Mungu. Wewe tii kama huamini tumia hizo mbinu zako. Mimi na nyumba yangu tutamtegemea Mungu aliyetuvusha atatuvusha na rais na serikali yote tutakuwa salama kwa jina la Yesu. Amen.

hongera rais kwa kutuongoza njia sahihi, tupo tunaokuunga mkono na kutii mamlaka ya serikali.

Mungu akulinde Rais wetu Magufuli na serikali yako na atatuvusha salama wote tunaomwamini. Asiyeamini hata kama yupo serikalini atajua mwenyewe.

Utukufu kwa Mungu juu, na amani iwe duniani kwa wote aliowaridhia.

Amen
 
Mbona unakwepa swali,au hata Lissu humuamini!? Basi kumbe uraisi ulikua wa Mzee wa Ubwabwa Hashimu Rungwe tufanye ndiyo kadhulumiwa! Maana hata Takukuru walimpiga stop kugawa Ubwabwa kwenye Kampeni baada ya kuona anaanza kuwafunika CCM na CDM kwa kupata watu wengi kwenye Viwanja vya Kampeni Hahahaha!!

Boss wala usizungumzie ule upuuzi kusema kulikuwa ni uchaguzi maana ilikuwa kinyaa. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Hii ndio aina ya uzalendo anaowalilia jiwe. Wako tayari hata kushikwa makalio wakiamini makalio yote ni yako chini ya mkubwa
 
Back
Top Bottom