Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi tumempa nafasi tumwache afanye kazi yake, kelele za nini?

Kuna watu wana stress za maisha, asipotukuna serikali au kiongozi hawezi kulala. Unakuta mtu hata kodi ya elfu 15 ni tatizo anaishi kwa shemeji, utamuambia nini akuelewe? Uongozi ni mzigo kweli.
Wamejaa jukwaa ,kazi matusi tu na dharau ,wapuuzwe
 
Mie naona ujinga tu, wakati wa uchaguzi tulinde amani, huku wakipora kura, wakati wa Covid-19 tumtangulize Mungu mbele watu wanakufa eti kwa neumonia, takwimu kuficha, sayansi pembeni!
 
Jamii iliyo nyamaza ama nyamzishwa siyo rafiki kwa ujasriamali Silent society affect business and entrepreneurship 'silence surrender public responsibility'
 
Ata Amin,Hitler nk walikua Rais kwenye nchi zao pia
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Cha muhimu ni kuchukua tahadhari zote...
 
Mkuu hakuna hasie tii mamlaka za serikali, bali watu wanaitaka serikali kutimiza majukumu yake ipasavyo, na pale penye kosa ni lazima watu wahoji na hilo sio utovu wa adabu kwa serikali ama kiongozi. Unapo zungumzia suala la corona kumbuka kwamba ni janga baya sana lililoikumba dunia nzima, ni kweli kwamba adi sasa hivi hakuna nchi iliyopata dawa na hata hizo chanjo hazikingi kwa silimia 100. Hapo ndio linapokuja jukumu la serikali chini ya kiongozi mkuu kuwalinda wananchi. Njia kuu nikufuata kanuni ama utaratibu unao faa kuwalinda wananchi ambao nikuwapima wenye dalili zinazohusiana na ugonjwa huu, kutoa takwimu za walio pata maambukizi na kupona/kufa. Na kwa wale waliokufa kwa ugonjwa huu kuwepo na utaratibu wa ndugu kuwazika wapendwa wao bila ya wao kupata maambukizi.
Serikali hisipokuwa na uwazi hata maombi hayato saidia ikiwa ndugu anamuuguza mgonjwa mwenye maambukizi bila kujua kwa sababu serikali haipimi corona nakutoa takwimu na akitoka ndani anaingia kujumuika na wengine kwenye maombi.
Kama vifaa kutoka nje havina usalama kwa matumizi basi serikali ije na njia sahihi za kuwalinda wananchi wake na janga hili.
Lakini kiongozi wa wananchi anapokuja na kauli za kwamba "kama ni kufa tutakufa tu". Ama "hatupingi kuvaa barakoa" na wakati huo huo anawakejeli wenye kuvaa barakoa tena kwa kupotosha maandiko ndani ya nyumba za ibada, hii itakuwa nikuikosea nafasi yake kama kiongozi. Na unapoikosea nafasi yako ni sawa nakuwakosea ulio waomba kuwaongoza.
Kusifia penye jambo zuri ni sawa, na kukosoa penye kasoro pia ni sawa.
 
Una ujinga mwingi sana, naona umeamua kuugawia wenzako kwa namna hii.... nakusihi uutunze huenda utakufaa huko mbeleni.
 
labda ww ndo umempa binafsi namini nafasi amenipa mwe'yewe
 
Rais ana vyanzo vingi vya taarifa kuliko sisi tunaotegemea simu janja kujimwambafai.
 
Yaani unaona kabisa dereva anasinzia sinzia...afu ukae kimya !!

Una wajibu wa kufanya kitu kama abilia sababu goma akilipeleka mtaroni wote mnateketea.
 
sio kweli. Serikali ya TZ inadini. Hiyo katiba hakuna anaeifuata. Kama walikuwa ni watu wa kufuata katiba basi tanzania tungelikuwa na raisi mwengine na sio pandikizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…