Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia

Screenshot_20211217-073626.jpg

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

KAZI IENDELEE
 
Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia

View attachment 2046953

Halafu aje tena wa awamu ya 7 nae ajiundie wizara zake ama aipangue ama aiunganishe ama azimegue. Nonsense

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
samia ni mbaguzi, wizara ya wanawake na watoto ndio nini? kwaiyo wanaume sio watu?
Wanaume hatuthamanikagi ndugu dunia hii sio yetu usishangae kabisa!
 
Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia

View attachment 2046953

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

KAZI IENDELEE
... JPM alipounganisha wizara hizi mlisifu mno; miezi 9 baadaye rais mwingine karudisha zilivyokuwa mwanzo mnasifu tena kwa nderemo na vifijo! Are you OK upstairs you guys?
 
Kabla hujauliza kama watu wako sawa upstairs shirikisha upstairs zako kujua sababu ya kuziunganisha na sababu ya kuzitenganisha

Halafu hebu kanionyeshe pale uliona vifijo vyangu na nderemo kwa hilo😂😂😂
 
Kabla hujauliza kama watu wako kichwani upstairs shirikisha upstairs zako kujua sababu ya kuziunganisha na sababu ya kuzitenganisha

Halafu hebu kanionyeshe pale uliona vifijo vyangu na nderemo kwa hilo😂😂😂
... wanabahatisha?
 
hivi wanaume kwenye hii nchi hatuna mahala petu sio!!,tunataka iundwe na wizara yetu wanaume na watoto!!
 
Back
Top Bottom