abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Kuandika au kusema ni rahisi tu shughuli ipo ktk kuyaishi unayoyasema
dah[emoji120],unamaneno mataaamu! aise anafaidi Sana huyo ndg yang,I wish could me.yaani hata Kama umetoka kzn umechoka,au mmevulugana na boss,kwa maneno haya uchovu unaisha fasta!!