Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

... JPM alipounganisha wizara hizi mlisifu mno; miezi 9 baadaye rais mwingine karudisha zilivyokuwa mwanzo mnasifu tena kwa nderemo na vifijo! Are you OK upstairs you guys?
Ndio maana nchi zenye watu wenye akili, mfano USA wana wizara 15 tu ambazo zipo kwenye katiba, sio kila anayekuja anakuja na wizara zake mfukoni.
HOVYO KABISA.
 
Yes iwe Wizara ya jinsia na watoto itakuwa vizuri, kuweka wanawake hapo hakutakuwa na equity and equality kwenye mambo haya ya gender maana ina involve wanawake na wanaume.
Equality means equal opportunities for all.
Equity, means fairness.
So ikianza na Jinsia ita sound more better
 
😂😂😂

Sasa HOVYO KABISA ni nani au nini Chosen man
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa HOVYO KABISA ni nani au nini Chosen man
Hovyo ni huu utaratibu wa kila mtu kuja na wizara zake, wizara zilipaswa kuwa defined kwenye katiba ili kuepusha huu ujinga.
 
Askuambie mtu Wanaume na watoto ndio kila kitu kwetu. Tunawapenda na kuthamini mnoo, tuwe kwenye wizara moja tuu

dah[emoji120],unamaneno mataaamu! aise anafaidi Sana huyo ndg yang,I wish could me.yaani hata Kama umetoka kzn umechoka,au mmevulugana na boss,kwa maneno haya uchovu unaisha fasta!!
 
Mnatuongozea gharama ambazo hazina msingi wowote, wizara nyingi kama nini lakini hakuna ufanini wowote, Marekani inazaidi ya watu milioni 300 lakini wizara hazizidi 15
 
dah[emoji120],unamaneno mataaamu! aise anafaidi Sana huyo ndg yang,I wish could me.yaani hata Kama umetoka kzn umechoka,au mmevulugana na boss,kwa maneno haya uchovu unaisha fasta!!

Mungu akakupe wa kukupa unachotamani kadri ya haja za moyo wako, amtengeneze afit kabisa kwenye maisha yako🙏
 
Yes iwe Wizara ya jinsia na watoto itakuwa vizuri, kuweka wanawake hapo hakutakuwa na equity and equality kwenye mambo haya ya gender maana ina involve wanawake na wanaume.
Equality means equal opportunities for all.
Equity, means fairness.
So ikianza na Jinsia ita sound more better
Huu mchango lazima serekali iuchukua "Jinsia na watoto"..........
hongera sana kwa maoni mazuri
 
Yes jinsia- Gender ita sound more good na itajumuisha ma group yote bila kuacha group lolote la kijamii nyuma, maana maendeleo ni inclusive
 
Back
Top Bottom