Chosen man
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 543
- 755
Ndio maana nchi zenye watu wenye akili, mfano USA wana wizara 15 tu ambazo zipo kwenye katiba, sio kila anayekuja anakuja na wizara zake mfukoni.... JPM alipounganisha wizara hizi mlisifu mno; miezi 9 baadaye rais mwingine karudisha zilivyokuwa mwanzo mnasifu tena kwa nderemo na vifijo! Are you OK upstairs you guys?
Kuna watu wanafaidiHahahaa asante KENZY
hivi wanaume kwenye hii nchi hatuna mahala petu sio!!,tunataka iundwe na wizara yetu wanaume na watoto!!
Wabeja mayo..😀Kila mtu liletwa na Mungu hapa duniani ili afaidi KENZY
Hovyo ni huu utaratibu wa kila mtu kuja na wizara zake, wizara zilipaswa kuwa defined kwenye katiba ili kuepusha huu ujinga.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa HOVYO KABISA ni nani au nini Chosen man
dah[emoji120],unamaneno mataaamu! aise anafaidi Sana huyo ndg yang,I wish could me.yaani hata Kama umetoka kzn umechoka,au mmevulugana na boss,kwa maneno haya uchovu unaisha fasta!!Askuambie mtu Wanaume na watoto ndio kila kitu kwetu. Tunawapenda na kuthamini mnoo, tuwe kwenye wizara moja tuu
Mwanaume wewe ni mtu muhimu na wa thamani sana
Yani wanaume mnasifiwa hamtaki[emoji28] Mkwaje nyie?www.jamiiforums.com
Wanaume na walemavuhivi wanaume kwenye hii nchi hatuna mahala petu sio!!,tunataka iundwe na wizara yetu wanaume na watoto!!
dah[emoji120],unamaneno mataaamu! aise anafaidi Sana huyo ndg yang,I wish could me.yaani hata Kama umetoka kzn umechoka,au mmevulugana na boss,kwa maneno haya uchovu unaisha fasta!!
Mungu akakupe wa kukupa unachotamani kadri ya haja za moyo wako, amtengeneze afit kabisa kwenye maisha yako[emoji120]
Huu mchango lazima serekali iuchukua "Jinsia na watoto"..........Yes iwe Wizara ya jinsia na watoto itakuwa vizuri, kuweka wanawake hapo hakutakuwa na equity and equality kwenye mambo haya ya gender maana ina involve wanawake na wanaume.
Equality means equal opportunities for all.
Equity, means fairness.
So ikianza na Jinsia ita sound more better
Eh mbona jina la baba haulingTuwe pamoja mrangi. Baba, Mama na Watoto hapohapo
Yes jinsia- Gender ita sound more good na itajumuisha ma group yote bila kuacha group lolote la kijamii nyuma, maana maendeleo ni inclusiveHuu mchango lazima serekali iuchukua "Jinsia na watoto"..........
hongera sana kwa maoni mazuri