Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Ila huyu jamaa wamuangalie sana mara analipua kweli na Nuclear weapons Hana akili kabisa Wasije amka yakabaki mabaki Tu Huo mji mkuu Kiev
 
Na sasa ameshapaniki huyu fala tegrmeo lake la mwisho ni hizo nyuklia
Yani russia awajafa hata milioni 4 unasema mwisho wake wewe ni kichekesho cha mwaka ,vita kamili vikizuka ujue jeshi la russia litakuwa na wanajeshi mil 6 hadi mil12
 
Kwani hao wenzake wakina NATO na Marekani hawana hizo Nuclear? Na kama hujui Marekani/NATO wana Nuclear hapo jirani ya Russia, Poland.
Wewe ujui kitu sasa hivi meli na submarine za russia za nuclear tayari zime jiandaa kusambaa baharini dunia nzima zikiwa na mabomu ya nuclear mapya ya kisasa yenye nguvu kuliko ya marekani
 
Walokole wale wanatwambiaga kila kitu kishatabiriwa tayar kwenye biblia wako wapi?

Hizi sio siku za mwisho kweli?[emoji848]
 
Vita vinapiganiwa jirani na Russia. Nani akose Tena. Russia ndio atapoteza zaidi kuliko Ukraine maana Ni majirani. Kwanza Ukraine ndio ataingia Nato na EU baada ya kuona Russia Ni adui yake.
Ikipigwa nyuklia iyo Ukraine, urusi na NATO yote kunageuka kua vumbi[emoji4]
 
View attachment 2133223

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi.

Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya Magharibi yamechukua "hatua zisizo za kirafiki" kwa Urusi na kuweka "vikwazo visivyo halali".

Rais wa Urusi Vladmir Putin ameamuru usimamizi wa jeshi kuweka kikosi maalum cha nyuklia katika hali "maalum" ya tahadhari.

Hii ni baada ya kile ambacho Moscow inakiita "taarifa za uchokozi" za nchi za muungano wa Nato.
Source:BBC
FB_IMG_1644683293130.jpg
 
Huyu Putin mpuuzi tu....na safari hii kayakanyaga....
Kila chenye mwanzo kina mwisho....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Watu ni wajinga vita kamili ikitokea mjue NATO + USA +SOUTH KOREA VS RUSSIAN +CHINA +NORTH KOREA hiyo ndiyo sura ya vita itakavyo kuwa
 
Ni kiama.Tutakufa wote.Hakuna atakyebaki sio CCM wala Chadema
 
View attachment 2133223

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi.

Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya Magharibi yamechukua "hatua zisizo za kirafiki" kwa Urusi na kuweka "vikwazo visivyo halali".

Rais wa Urusi Vladmir Putin ameamuru usimamizi wa jeshi kuweka kikosi maalum cha nyuklia katika hali "maalum" ya tahadhari.

Hii ni baada ya kile ambacho Moscow inakiita "taarifa za uchokozi" za nchi za muungano wa Nato.
Source:BBC
Wapambane tu na hali zao maana hata sisi tuna pambana na hali zetu Afrika
 
Back
Top Bottom